StanyRosa
Member
- Jan 1, 2017
- 11
- 23
Deogratius Kisandu,
Sikuwahi pata good and complete Clarification za Padre Luther na je nani mwenye mamlaka ya kutoa vitabu na kupunguza mistari ya bibblia.
Pili kanuni za kanisa ndizo alizipinga au bibblia?
Ahsante