Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 25,893
- 18,988
- Thread starter
- #21
Hata Obama Amelia mara nyingi sana.Unakumbuka Pinda alivyolia bungeni badala ya kutoa majawabu katika masuala magumu??
Hata Obama Amelia mara nyingi sana.Unakumbuka Pinda alivyolia bungeni badala ya kutoa majawabu katika masuala magumu??
Hata katiba yetu tuifanye kama ya MarekaniHata Obama Amelia mara nyingi sana.
Hivi unaweza kuwa mtawala hapa duniani bila kuvaa hirizi🤔🤔🤔🤔🤔Labda amsaidie kwa ushirikina
Mzee John Samuel Malecela ( Waziri Mkuu Mstaafu ) una uhakika kuwa hakuwahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kati ya mwaka 1995 hadi mwaka 2007? Ukijua Kichwani mwako ni Mtupu na huna Data za Kutosha ni vyema ukawa unakaa mbali na Mada za Zanaki and Yao Genius GENTAMYCINE Mimi sawa?Je Katiba inaruhusu? Hasa, kwa nafasi yake kama waziri Mkuu mstaafu?
Naomba kuelimishwa
Ataanza kulia majukwaani huyoAmbapo kwa haraka haraka nikaona kuwa Mheshimiwa Waziri mkuu mstaafu Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda,Mtoto wa Mkulima anaweza kuvaa viatu vya Umakamu Mwenyekiti na vikamuenea vizuri sana na kumudu nafasi hiyo.
Unaelewa mfumo wa Marekani ulivyo?Hata katiba yetu tuifanye kama ya Marekani
Acha zako hapa.Ataanza kulia majukwaani huyo
Acha uongo wako hapa wewealiekwambia Pinda hana hasira kakudanganya.pinda anahasira na pia akipatwa na hasira hachelewi kulia.(kumwagika machozi) na kuhisi kuonewa kuliko watu ote duniani.
Kwani akiwa Makamu hawezi kufuga nyuki?Wamuache mzee aendelee kufuga nyuki.
Hujui kuwa huyo mzee alilia bungeni baada ya kuzidia na maswaliAcha zako hapa.
utakua mtoto au umesahau alivyokua PM enzi zake kalibu kila bunge wanamliza.Acha uongo wako hapa wewe