Bacary Superior
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 3,721
- 1,513
LOWASA ALIPOKUWA WAZIRI MKUU ALIFANYA NINI CHA AJABU? SI NDIE MLIKUWA MNAMSEMA FISADI KAJA CHADEMA NDIO MUMEMUONA SAINT,AKILI ZENU WAPINZANI MNAZIJUA WENYEWEHakuna cha kufilisi katika nchi iliyokwishafilisiwa na ccm!!..Tunachoweza kufanya ndani ya Serikali mpya pamoja na Lowasa ni kuiinua nchi kufikia uchumi wenye manufaa kwa walipakodi na sio kwa mafisadi kama wanaolelewa na ccm!