- Thread starter
- #101
Hakuna mwenye kukupenda hata wewe kwa kutotumia akili yako kuelewa hekima!Ninefuatilia uzi kumbi lissu hata sikujisumbua kusoma sababu lisu utadhani kafungwa kengele akijitingisha tu inapiga kelele. Mitumba ya ndege ameambiwa na nani. Yaan siwapendi watu wa aina hii