UTANGULIZI "MITAALA YA ELIMU NA AJIRA KWA VIJANA" miongoni mwa sekta ambayo nchi ya Tanzania imekuwa ikifanya juhudi ili kupata maendeleo ni sekta ya Elimu,katika awamu ya Tano ya Raisi John Joseph Pombe Magufuli ambae alikuja na mpango wa Elimu bila Ada kuanzia ngazi ya shule ya msingi hadi sekondari, Serikali ilikuja na mpango wa Elimu bila kwa lengo la kutoa Elimu kwa watanzania wote hata Wale wenye mazingira Magumu(Masikini) ili kuhakikisha watanzania wengi wanapata elimu kwa maendeleo ya nchi na familia zao
Pamoja na kuwa na mpango wa elimu bila Ada changamoto kubwa kwa nchi imebaki Kuwa Mitaala ya Elimu ambayo imekuwa ikibadilika kila wakati kwa sababu mbalimbali, mitaala ya Elimu ndio msingi mkuu wa utendaji na uzalishaji wa wasomi mbalimbali, Mitaala hii imeshindwa kukidhi namna ya kusaidia walimu kutoa wataalam wenye weledi zaidi.
Ni nini kifanyike?
1. Kuwa na mtaala mmoja na bora unaondana na utandawazi wa leo wenye tija,unaoelekeza namna ya kumuandaa mtoto namna ya kujiajiri na sio kuipa serikali jukumu hilo
Kutengeneza na kuwekeza kwenye ufundishaji wa vitendo kuliko nadharia,ufundishaji wa vitendo kwa mwanafunzi kuanzia awali hadi chuo Kikuu itampa kijana uwezo mkubwa wa kufikiri na kitu gani afanye na kwa wakati gani pindi anapohitmu masomo.
Serikali kwa kushirikiana na wadau wa elimu wanapaswa kushrikiana kuzalisha walimu/watalaam wenye weledi na ufanisi wa kufundisha kuanzia ngazi ya elimu ya msingi hadi chuo Kiley.
2. Kutengeneza mpango kazi wa kuwaandaa vijana wakiwa wadogo ili kuwawezesha,serikali inapaswa kuweka mpango mkakati wa usimamizi ili kutengeza vijana ambao watawezeshwa kutimiza ndoto zao kwa kuwasaidia ili watimize ndoto, mfano tunaweza kutengeneza madaktari,watumishi wenye weledi,walimu bora kupitia mpango mkakati huu ambao ni kusimamia maono ya vijana pindi wakiwa bado ni wadogo.
3. Kuweka mpango mzuri wa kimasomo mfano,elimu ya msingi iwe miaka minne,elimu ya sekondar miaka mitano, ndani hii miaka itampa mwanafunzi wakati mzuri wa kujifunza kwa vitendo.
Serikali inatakiwa kujikita zaidi kuboresha Mitaala ya elimu kwa vitendo na sio kubadilisha mitaala ya nadharia.
Imeandikwa na Mesanga Charles Mesanga Mesangacharles@gmail.com