Gibbethon bible code
JF-Expert Member
- Oct 9, 2023
- 439
- 677
Nimesoma mabandiko mengi ya mzee Mohamed Said kuhusiana na uhuru ni ukweli usiopingika historia ya Tanzania imechakuchuliwa sana ni fupi sana kitu ambacho kinaleta doubt.
Sitaki kumlaumu Julius Kambarage Nyerere ila nachojua alikuwa mwerevu sana kuliko wenzake yaani wakati wapo kwenye harakati za uhuru yeye alikua ameshapiga hesabu za mbali sana kuliko wenzake yaani alikuwa anawadha tofauti sana na wenzake.
Ukiwaangalia wakina abdulwalid sykes na wengineo ni watu ambao walikua loyal sana yaani mambo ya vyeo baada ya nchi kupata uhuru walikuwa hawayawazii walikuwa sahii, ila kwenye dunian ya leo mwisho wa siku mwerevu ndo mshindi.
Ukiangalia harakati za uhuru na baada ya uhuru inatufundisha kwenye maisha haijalishi mko kikundi kwa malengo yeyote jambo unalotakiwa ufahamu ni kwamba kila mtu anapigania maslai yake in-short kuwa loyal na maslai yako na wewe usikae kizembe piga hesabu kali za mbele na penda kujiongeza usikae nyuma nyuma the world is not fair ndio kilicho-msaidia Nyerere.
Hata ukisoma historia ya jomo kenyatta story ni ilele ni mtu mwenye bahati, alijiongeza akawa Rais wa Kenya huku wale waliopigania mau mau wakaachwa kwenye mataa
Ni vizuri alichoandika kwenye vitabu vichukuliwe na viwekwe kwenye historia ya Tanzania vitaleta mwanga ila havitabadilisha kwamba Rais wa kwanza Tanzania ni Julius kambarage Nyerere