Hata huo umakamu hakuwa anastahili..!..waliompa nafasi ya Umakamu walilenga kuwarubuni wanawake waipigie kura Ccm. Hawakuwahi kumfikiria Samia kuwa atakuja kuwa Raisi wa muungano, au Zanzibar.
Hata huo umakamu hakuwa anastahili..!..waliompa nafasi ya Umakamu walilenga kuwarubuni wanawake waipigie kura Ccm. Hawakuwahi kumfikiria Samia kuwa atakuja kuwa Raisi wa muungano, au Zanzibar.
Nafuu niwe punguani kuliko kuwa shoga kama wewe ambaye bado unamuabudu marehemu MwendazakeUtetezi wa aina hii ni wa mtu punguani..!
Hivi huyo mama yenu kuna darasa ambalo huwa nyote mnakwenda kwake kujifunza mipasho?Shida Una panic mno sijui ndio stress zenyewe
Wewe mwenyewe unaandika mipasho. Nyani haoni kunduleHivi huyo mama yenu kuna darasa ambalo huwa nyote mnakwenda kwake kujifunza mipasho?
Sawa, mkuu 'Stuxnet'. Nashukuru kwamba mipasho yangu unaielewa vizuri.Wewe mwenyewe unaandika mipasho. Nyani haoni kundule
Save your energy ndugu,Sawa, mkuu 'Stuxnet'. Nashukuru kwamba mipasho yangu unaielewa vizuri.
Huyo ndugu 'Stuxnet', ninamfahamu muda kitambo humu. Ni mtu mwenye ufahamu wa mambo mzuri, na nina hakika anacho kisomo cha kutosha.Save your energy ndugu,
Unayemsema ni nduguye katika dini, hatokuelewa Leo Wala kesho.
Anaujua UKWELI lakini anaamua kuukataa!Huyo ndugu 'Stuxnet', ninamfahamu muda kitambo humu. Ni mtu mwenye ufahamu wa mambo mzuri, na nina hakika anacho kisomo cha kutosha.
Sasa kama ulivyo sema hapa, nilikuja kugundua hilo la 'undugu' hivi karibuni tu. Inaelekea baadhi ya watu, umoja wa kiimani ni muhimu zaidi kuliko kitu kingine chochote.
Haya tuna yashuhudia ndani ya CCM sasa hivi.
Mama yako piaHivi huyo mama yenu kuna darasa ambalo huwa nyote mnakwenda kwake kujifunza mipasho?
Hayo maandishi ya mungu yaliyotaja marais waliowahi kuwa / watakaokuwa naipata wapi mdau ?
Kwahiyo kama wasomi waliowahi kupewa nafasi za uongozi wakavurunda ndio tuhamie kuchagua kuongozwa na vilaza?
Taifa lilisilofuata "meritocracy" kuendelea ni ngumu sana.
Kwahiyo pia unashauri shule zifungwe madarasa waf
Unaweza kuita vyovyote unavyojua lkn upunguani wako hautatoka..Nafuu niwe punguani kuliko kuwa shoga kama wewe ambaye bado unamuabudu marehemu Mwendazake
EEEeeeenHEEEee.Nilishaacha kusikiliza Vilaza kitambo sana.
Kiumri, hapana, labda kicheo. Bahati yetu sote mbaya sana kuwa na mama wa aina hii.Mama yako pia
Kuchapisha hela kwa nchi maskini hiyo ni last resort (too desperate) maana yake umehelemewa na hakuna wa kukusaidia.Mkuu wewe!!!!!!!
Ku print pesa kinyume na utaratibu ni kosa kubwa sana linalogharimu uhai was mtu!
Benki ya Dunia ikijua tu Rip in advance!!!
Nilisikia eti naye Kato wa chato name alipitia njia hii!
Sad!