Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Mkuu wewe!!!!!!!

Ku print pesa kinyume na utaratibu ni kosa kubwa sana linalogharimu uhai was mtu!

Benki ya Dunia ikijua tu Rip in advance!!!

Nilisikia eti naye Kato wa chato name alipitia njia hii!

Sad!
 
Mkuu wewe!!!!!!!

Ku print pesa kinyume na utaratibu ni kosa kubwa sana linalogharimu uhai was mtu!

Benki ya Dunia ikijua tu Rip in advance!!!

Nilisikia eti naye Kato wa chato name alipitia njia hii!

Sad!
 
Save your energy ndugu,

Unayemsema ni nduguye katika dini, hatokuelewa Leo Wala kesho.
Huyo ndugu 'Stuxnet', ninamfahamu muda kitambo humu. Ni mtu mwenye ufahamu wa mambo mzuri, na nina hakika anacho kisomo cha kutosha.
Sasa kama ulivyo sema hapa, nilikuja kugundua hilo la 'undugu' hivi karibuni tu. Inaelekea baadhi ya watu, umoja wa kiimani ni muhimu zaidi kuliko kitu kingine chochote.
Haya tuna yashuhudia ndani ya CCM sasa hivi.
 
Anaujua UKWELI lakini anaamua kuukataa!

Sasa ni muhimu kumuelewesha Mjinga kuliko kupoteza muda na mpumbavu.
 
Hayo maandishi ya mungu yaliyotaja marais waliowahi kuwa / watakaokuwa naipata wapi mdau ?

Kwahiyo kama wasomi waliowahi kupewa nafasi za uongozi wakavurunda ndio tuhamie kuchagua kuongozwa na vilaza?

Taifa lilisilofuata "meritocracy" kuendelea ni ngumu sana.

Kwahiyo pia unashauri shule zifungwe madarasa waf

Nafuu niwe punguani kuliko kuwa shoga kama wewe ambaye bado unamuabudu marehemu Mwendazake
Unaweza kuita vyovyote unavyojua lkn upunguani wako hautatoka..
 
Nilishaacha kusikiliza Vilaza kitambo sana.
EEEeeeenHEEEee.
Inanibidi nicheke tu. Nakumbuka mada zako nyingi huko nyuma ulikuwa huambiwi kitu juu ya "mama anaupiga mwingi".
Hapana, sikumbushi ili kukusuta kwa lolote, bali sote sasa hivi ni mashuhuda wa hali halisi iivyo..

Hofu yangu kubwa ni huyu kuendelea miaka mingine zaidi ya 2025!
 
Mkuu wewe!!!!!!!

Ku print pesa kinyume na utaratibu ni kosa kubwa sana linalogharimu uhai was mtu!

Benki ya Dunia ikijua tu Rip in advance!!!

Nilisikia eti naye Kato wa chato name alipitia njia hii!

Sad!
Kuchapisha hela kwa nchi maskini hiyo ni last resort (too desperate) maana yake umehelemewa na hakuna wa kukusaidia.

Madhara yake ni currency devaluation, sasa kama umekopa kwa dollar expect rise deni lako kukuwa through inflation and all sorts of downtown spiral za kiuchumi.

Usishangae wakishadadia PPP huko serikalini hakuna hela ya kufanya miradi, na kwenye most likely wanatengeneza matatizo mengine. Eventually tutafikia hatua tu ya ‘chasing the dragon’.

Uwezi kuchapisha hela currency ikawa stable, hata huko US; lazima kuwe na inflation (kwa sababu luluki). Kipindi cha Magufuli exchange rate ilikuwa stable na alikuwa anakopesheka mpaka na private banks without intervention ya IMF/WB.

Vinginevyo uwezi kukopeshwa na private banks or gain access to money market nchi ya third bila ya kelele za donors kama uchumi wako sio stable na cashflow yako sio nzuri.

Uongozi wa huyu mama anapoipeleka nchi liko wazi, mambo yanayotokea sasa wengine tuliyasema miezi mitatu au minne baada ya kuapishwa.

Sasa watu wenye akili zao timamu huko serikalini, waendelee kusikiliza huu utoto wa Magufuli aliharibu uchumi na sasa hivi wanarekebisha.

Siasa ni science na uchumi ni science; ni rahisi kutabili nchi inapoelekea kwa uongozi uliopo; the worst is yet to come.
 
Back
Top Bottom