Mimi binafsi, siwezi kumsikiliza rais Samia

Sasa huoni anataka tena 2025? Angekuwa anajijua angemaliza hii de facto presidency time awaachie wenye uwezo
Mzee mmoja wa chama anasema ,Eti mabeyo alimwambia amalizie muhula wa tano halafu aachie chama kifanye maamuzi ya mwingine ashike!

Mama akapiga U-turn !!

Sasa ngoja nione Nini kitajiri coz mama ameanza kumshuku Hadi katibu mkuu wa chama chake!
 
Sijaona mahali umejibu swali langu la miundombinu 10 ya kimkakati uliyosema amejenga Samia katika miaka yake 3.

Hivyo sioni sababu ya kuendelea kufanya mjadala na wewe.
Miundo mbinu sio 10 tu ya kimkakati ipo zaidi ya idadi hiyo.

Madaraja yanajengwa kila mkoa hivi sasa, achana na haya ya ndani ya jiji la Dar.

Daraja la Busisi linamalizika.

Viwanja vya ndege karibu saba vinajengwa muda huu.

Yote hayo ni miundo mbinu ya kimkakati inayoendelea kujengwa, anafanya mengi sana kwa elimu yake hiyo hiyo ya kawaida.

Tafuta nyuzi za Choicevariables zimo humu, huwa anaweka kwa kirefu kitu gani kinachofanywa na serikali kwa sasa.

Jamaa anazo taarifa nyingi za utendaji wa kiserikali.
 
Kusema ukweli kabisa huyu bibi katuharibia Nchi iliyokuwa inamwelekeo mzuri.Umakamu aliupata ili kutimiza matakwa ya huu muungano feki lakini siyo kwamba Kwa uwezo wa kuongoza na Bahati mbaya ikatokea vile na ikawa kukubaliana na Hali.
Aliyestahili kuwa mgombea mwenza wa Magufuli ni Balozi Amina Salum Ally anatoka zanzibar pia na alikuwa kwenye watatu waliobaki kugombea Urais kupitia ccm..ndio maana ipo dhana kuwa km leo dunia ikafika mwisho, ccm wote wanakwenda jehanamu ya moto...huwezi kukubaliana na ujinga wa aina hii kupitisha maamuzi ya kijinga kabisa yanayoleta gharama kubwa kwenye maisha ya watu kukubali kuweka mtu ambaye hana uwezo..! wakati wenye uwezo wapo na wanastahili!
 
Ni uwezo gani ambao hana? Mbona nchi iko vizuri? Au mwenzetu uko Afghanistan??
 
Mzee mmoja wa chama anasema ,Eti mabeyo alimwambia amalizie muhula wa tano halafu aachie chama kifanye maamuzi ya mwingine ashike!

Mama akapiga U-turn !!

Sasa ngoja nione Nini kitajiri coz mama ameanza kumshuku Hadi katibu mkuu wa chama chake!
Na akiendelea tena mwaka 2025 - 2030 expect inflation kufikia 30% au zaidi, maana mana yamemshinda kaanza ku-print pesa kijanja, na madeni yote hayo aliyokopa, na anazidi kujihusisha na China; wanampa madeni ya hela za kchina wachina wageuza kibao wanataka dollar; hapo ndipo tutaona joto la jiwe likoje.
 
Nakupata 100%

Ndio maana kila siku kama umewahi kunisoma huko nyuma uwa nasema ‘usalama wa taifa ni mchezo, wa watu wenye akili’.

Sasa kuna watu wenye akili huko wanamuona raisi wetu ‘Samia’ hana uwezo kabisa.

Akipewa muhula mwingine sio shida yangu, lakini Samia akili hana; kafikaje hapo is beyond me.

Tukisema tumpe miaka mitano mingine sawa; Lakini akili hana (hilo lazima tukubaliane) tunampa nafasi mtu ambae hana uwezo kabisa.

Samia akili hana (hakuna ukweli, mwingine); yaani hana kabisa.
Hao usalama wa taifa walikosa akili kabla ya kumpata ambae hana akili..yeye ni zao la waliokosa akili kabla yake!
 
Huko wala usijali waziri wa mambo ya nje kwa sasa, ni mtaalamu.

Lakini Samia akili hana, lazima tukubaliane kwenye hilo watanzania.

Kafikaje hapo halipo MaCCM yanajua yenyewe succession planning. Mimi binafsi siwezi kukaa kikao ata cha mtaa kitachoongozwa na Samia.

Huyu mtu Kafikaje hapo na Generał Mabeyo kabisa aliwapinga watu apewe nchi is beyond me.

Samia akili hana, huo ni ukweli usiopingika.
Mnahitaji nani mwingine aseme juu ya uwezo wa huyu mtu, ikiwa kaka yake tumbo moja alisema..km mzazi wao angerudi duniani angeshangaa kukuta mtu aliyemfahamu kuwa na uwezo wa kuwa mama wa nyumbani tu na kulea watoto, leo kapewa majukumu makubwa ya nchi! sasa shida si yeye..shida ni watanzania wote pamoja na wewe na hasa ccm!
 
Ni uwezo gani ambao hana? Mbona nchi iko vizuri? Au mwenzetu uko Afghanistan??
Uwezo wa kuongoza km Rais wa nchi..kuongoza si kusimamia barabara na madaraja au kutoa mikopo ya wanachuo, ni zaidi ya hayo..usidhani kusimamia mfumuko wa bei km alivyofanya Mkapa ndani ya miaka 10, kipande cha sabuni kuuzwa sh. 100, sukari kilo sh. 250 ni kitu rahisi..Rais anahusika moja kwa moja na UHAI/survival wa anaowangoza!
 
Sasa una uhakika gani kama sijasoma code au cybersecurity?

Na bado hizo code na cybersecurity kwangu ni Upuuzi tu na kupoteza muda

Narudia tena site yoyote, app yoyote, system yoyote ikihitajika kudunguliwa itadunguliwa tu bila kujali ni ya nani au ya taasisi gani

Ulinzi mkuu kwenye hizo mambo huwa ni backup tu siyo code
Mdukuzi unaitajika huku u test kama kunaingilika maana upo vizuri kukomalia kila site inaingilika
Screenshot_20241029-140552_Instagram.jpg
Screenshot_20241029-140545_Instagram.jpg
 
Mdukuzi unaitajika huku u test kama kunaingilika maana upo vizuri kukomalia kila site inaingilikaView attachment 3138185View attachment 3138186
Siyo apple tu, hata Facebook wana huo mpango na ni miaka kadhaa wamekuwa wakiunadi, bado mara kadhaa umesikia account za watu kadhaa zimekuwa hacked huko fb

Hao apple au teregram na mwingine yoyote ni suala la muda tu

Hakuna siri yoyote kwenye internet
 
Uwezo wa kuongoza km Rais wa nchi..kuongoza si kusimamia barabara na madaraja au kutoa mikopo ya wanachuo, ni zaidi ya hayo..usidhani kusimamia mfumuko wa bei km alivyofanya Mkapa ndani ya miaka 10, kipande cha sabuni kuuzwa sh. 100, sukari kilo sh. 250 ni kitu rahisi..Rais anahusika moja kwa moja na UHAI/survival wa anaowangoza!
Wakati wa Mkapa hakukuwa na vita vya Ukraine na Russia. Mfumuko wa bei kipindi hiki ni suala la dunia. Hakuna nchi iko stable. Utabisha kama hujui namna geopolitics zonavyoathiri bei za mafuta, kilimo na imports zingine
 
Naunga mkono hoja .
Rais wetu wa sasa anajifafanua kwa udhaifu na rushwa. Bora 2025 apumzike . Ccm wateue chuma kingine cha kitanganyika 2025 kugombea urais.
 
Kwa katiba yetu ni sawa na power struggle za Europęan monarchy. Unakuta mtoto anarithi kwa tamaduni au mtu wa mbali anautwaa ufalme kwa kanuni.

Waelevu wanaona isiwe tabu vita, kumtoa huyu mtu.

Muwe wakweli raisi Samia hana uwezo kabisa.
Form four failure, tutaandika historia ya aibu duniani. Rais anayeamini ktk chawa
 
Wakati wa Mkapa hakukuwa na vita vya Ukraine na Russia. Mfumuko wa bei kipindi hiki ni suala la dunia. Hakuna nchi iko stable. Utabisha kama hujui namna geopolitics zonavyoathiri bei za mafuta, kilimo na imports zingine
Utetezi wa aina hii ni wa mtu punguani..!
 
Back
Top Bottom