Milton Mahanga: RC Makonda jisafishe na kashfa hii au jiuzulu

Yani kwenye point ya 19 ndio patakapo Katia mzizi wa fitina hapo. Na huyo mwenye cheti original atafutwe atoe maelezo ya kitosha. Alafu Ndugu Daudi atueleze Jina la Paul Makonda lilipatikana kutoka wapi. Maana hata mahakamani ukienda kuhapa kujadili Jina au kutumia majina yote lazima uwe na uthibitisho wa hayo majina, sababu mahakamani hawabatizi majina kama kanisani.
 
Ndo matatizo ya JF kutokuweka mipaka ya umri wa kujiunga humu. Wewe mleta mada usichokijua ni kwamba miaka ya nyuma watu walipata vyeti mpaka waliokuwa na negative ( Kama ipo). Na hii sheria ya kuwanyima watu vyeti waliopata zero ni ya juzi tu. Uliza Wazazi wako Kabla ya kubandika upuuzi wako hapa.
 
HIZI POROJO ZA MAMBO YA MAKONDA NA VYETI HUMU MTANDAONI ZIMETUCHOSHA. YA NINI KUZUNGUKA MBUYU, SI MKAE KIMYA ALIYETUHUMIWA AJISAFISHE, YA NINI KUWEKA MAJIBIZANO. MNATUCHELEWESHA SAFARI YETU YA VIWANDA, WACHA MAJUNGU TUPIGE KAZI, Kama haupo safi kaa pembeni sio kuendeleza majungu na kama upo safi umechafuliwa JISAFISHE ukikataa basi kaa na uchafu wako, kadri busara zako zinavyokuongoza
 
Back
Top Bottom