Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,669
- 119,297
Mkuu mwanaone, huwezi amini, hii posti ndio naiona leoKaka pasco hatukatai makonda anauthubutu lakini tunataka uthubutu utakaoendana Na sheria Na taratibu za nchi.
Hapa nakuunga mkono, na jambo kama hili, hata mimi niliwahi kushauriLakini baada ya kuanza huu mjadala wa vyeti feki wa makonda nadhani halaumiki sana Kwani njia alizotumia au anazotumia ktk maamuzi mengi aliyowahi kuyafanya yanaendana Na uwezo wake aliokuwa nao darasani Kwahiyo anastahili kusaidiwa zaidi kuliko kulaumiwa japo sheria ifuate MKONDO wake.
HAPA!
P