Majuzi kuna mwamba alitaja timu kuni na tatu ambazo ni mara chache kuchana,kuanzia ijumaa nilizipa double chance,aisee zote zimetoa,
Timu zenyewe ni
Gorona
Crotone
B leverkusen
Aston villa
Frunkfurt
Winterther
Chesterfield
Stockport count
Blomley
Leicester
Raith rovers
Ndazitumia kuweka dau kubwa , na huu ndo tunaitampangilio na uchaguzi sahihi wa timu ambao unabahati ndani yake.
 
Ndugu maofisa ubashiri, wiki hii imeisha kama ifuatavyo. Leteni hiyo mikeka tuanze wiki mpya,
1702268953351.png
 
Issue sio kupenda matreni, tunatofautiana uchumi, we unastake laki nne odds mbili na sometimes unachana ila una zingine, unakuta mtu mwingine akitoa 50k tu kaharibu bajeti ya mwezi so unakuta wengi humu wa buku buku coz hata hizo odds 4 2 sio kwamba hazichani, zinachana vizuri ila ndo hivyo Leo unakula kesho unaliwa ila upo fresh coz uchumi unao.. mwingine wa buku buku akipatia vizuri hela anapiga ndefu mpaka betpawa anapanic huko
Probability ya kuchana kwa odd chache au timu chache ni ndogo mno kuliko hayo matren.ukwel tatizo ni mtaji tu.ila hakuna asiyependa kuwek odd 2 au 3.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom