Hivi uyu mdau alietupia hili treni ni nani? Tumtambue apewe maua yake.

1693290750588.png
 
Wakuu hope mmeamka poa, kama kawaida Sisi watu wa MATRENI siku zote hatukati tamaa kwa sababu hatuna uwezo wa kustake laki au hata elfu kumi.

Kwa hivyo tunaishi kwenye Imani ya kuwa kuna SIKU Mia itatutoa kimaisha kwa kuweka MATRENI yetu ya DAR mpaka kigoma.

Sasa Leo nimeamka nimekuta wallet imenona kwa Mia Tu, ods elfu moja zimetiki mkeka nilicopy kwa wanigeria Huko .

Mia nimepata laki tatu ashukuriwe Mungu na kwa hivyo tusikate tamaa.

Mungu awabariki na mapambano yaendelee.
Hongera Mlima Simba
Angalau umepunguzq machungu

Kuna mjuba mmoja humu asiejielewa yeye akili yake kuponda Matrenii kila akiamka akiumia na mia au mia mbili.

BADO like la Mechi 44 waliosema Buku Cashout ipo vizuri mnoo na plan yake inaendelea vizuri

Mtu ishi kwa unachoamini kuna luckiest people ktk muda wao wanaoweza kukuvusha mtu

All the best Passengers woote,safari ziendelee
 
Huko Kenya kuna Mdau kashinda kesi kampuni ya Betika baada ya Betika kumbadilishia matokeo, wakaondoa timu ya wakubwa na kuweka ya watoto baada ya jamaa kushinda mkeka wa timu 8

Mahakama imeamuru alipwe hela alizoshinda na gharama za kesi.
Kesi imeanza February 2023
Ndio maana mimi nikishaweka mkeka na print
Hao majamaa wana ma IT wanaweza fanya lolote
 
Treni linapepea tu.! Cashout nayo inatamanisha maana ni mtaji tosha ila wacha tukomae hadi mwisho.!
View attachment 2732143
Sikulidandia hili treni, by the way sinaga uvumilivu ila treni zangu ni za mwendo kasi leo leo! Hazilali...

Ila leo nimewish nitengeneze treni la wiki 1 odds 100-250... Kuanzia mechi za kesho hadi jpili...

Ndio niko nalikoka treni hapa....
Ila kwa Mechi za leo kuna odds 3 tu, Uefa na efl cup nachek probability ya kutafuta mechi 2... nachambua zifike walau odds 4.20 tu
 
Sikulidandia hili treni, by the way sinaga uvumilivu ila treni zangu ni za mwendo kasi leo leo! Hazilali...

Ila leo nimewish nitengeneze treni la wiki 1 odds 100-250... Kuanzia mechi za kesho hadi jpili...

Ndio niko nalikoka treni hapa....
Ila kwa Mechi za leo kuna odds 3 tu, Uefa na efl cup nachek probability ya kutafuta mechi 2... nachambua zifike walau odds 4.20 tu


Lete tuko macho mbaya kabisa Kiongozi😜
 
Back
Top Bottom