Mimi nina ujuzi wa beti kama zako zinatamanisha ila kilio kipo nje nje pigo moja linafuta faida yote uliyo pata kwa miketa 6 uliyo kula kwa sababu odds unazo chezea ni ndogo sana bora ingekuwa odds 4 ila kuweka milioni kwenye odds 1.34 ni risk kubwa tena kubwa sana
Ww unaweza stake 1M kwa odds 4 single bet???
 
NIMERUDI KWA KISHINDO
Screenshot_20230127-172430.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom