Aliefata tukutane kwa muuza supu mapema kabisa kabla supu haijapoa.
1569213642686.png
 
Parimatch ni wezi kabisa haiwezekani walichonifanyia kabisaa ... Nimebet Kwa 4500 ... Potential win ilikuwa 11232 .... Eti wamenilipa 6800 kwanini ??????????? MamaaaeView attachment 1213896View attachment 1213897
Wataalam wa kubet wanatushauri kuscreen shot mikeka yetu ili kusaidia kwenye ushahidi yanapotokea mambo kama haya.
Tena sio mkeka tu, unashauriwa kuscreenshot hata akaunti yako.
Sasa fikiria kama potential winning ingekuwa milioni 11 ungepata mil 6.8 tu, mil 4 kwaheri.
 
Statistics za sub toka la liga weekend hii,kati ya game 9 zilizotoa HT under 0.5 ni 8 na zilizotoa FT over 5.5 ni game 8 pia,odd ni 1.2 per match.
 
wakuu,hakuna kampuni mpya iliyofunguliwa ambayo haikati 20%? na wenye Application nyepesi kidogo.

Nimeshatumia,

Parimatch- App ovyo,pia wanahitaji ID,kutoa pesa

Sportpesa-App nzito,kodi balaa

Meridian-App ovyo,hawasomeki malipo

Betpawa-Odds ndogo, options chache,kodi balaa

M-bet-Hawa ni chuma ulete,Options chache sana,halafu hawana single bet,ingawa odds kubwa na hazibadiliki.

Gal Sports-Hawana App,kutoa pesa mpaka uende shop

Premier bet-Hawa madudu yao ni kama ukubwa wa bahari.

Mkekabet/Sokabeti-Wapo ovyo kabisa kiuendeshaji.Hizo ni kampuni pacha.

Princess bet-App yao mbovu,mpangilio haueleweki

Mchezabet-Unfortunately,Mcheza has stopped!!

Wakabet-Hawa ni sawa na M-bet ila wanaruhusu single bets.

Tbet- Usijaribu kabisa

Bingwa bet-Hawa hawaeleweki kabisa.

Playmaster bet-Wana matatizo madogo madogo,hasa app.

Supabets-Wana matatizo madogo madogo hasa app na kodi kubwa.

Bikosports-Aisee,sijui niseme nini juu ya hawa watu.
Kama ipo nyingine yenye kutumia malipo ya M-pesa au Tigo pesa,naomba mnijulishe wadau.
 
Sasa ubaya wa parimatch upo wapi ... Yaani kupiga picha id yako yeyote uwatumie kwa watsapp waconfirm taarifa ulizojaza nalo ni tatizo kwako ..... Mbona tunatumia app na pesa tunatoa fasta tu. Unalako jambo na hawakati 20% ya kodi unapewa kama bonus ...
 
wakuu,hakuna kampuni mpya iliyofunguliwa ambayo haikati 20%? na wenye Application nyepesi kidogo.

Nimeshatumia,

Parimatch- App ovyo,pia wanahitaji ID,kutoa pesa

Sportpesa-App nzito,kodi balaa

Meridian-App ovyo,hawasomeki malipo

Betpawa-Odds ndogo, options chache,kodi balaa

M-bet-Hawa ni chuma ulete,Options chache sana,halafu hawana single bet,ingawa odds kubwa na hazibadiliki.

Gal Sports-Hawana App,kutoa pesa mpaka uende shop

Premier bet-Hawa madudu yao ni kama ukubwa wa bahari.

Mkekabet/Sokabeti-Wapo ovyo kabisa kiuendeshaji.Hizo ni kampuni pacha.

Princess bet-App yao mbovu,mpangilio haueleweki

Mchezabet-Unfortunately,Mcheza has stopped!!

Wakabet-Hawa ni sawa na M-bet ila wanaruhusu single bets.

Tbet- Usijaribu kabisa

Bingwa bet-Hawa hawaeleweki kabisa.

Playmaster bet-Wana matatizo madogo madogo,hasa app.

Supabets-Wana matatizo madogo madogo hasa app na kodi kubwa.

Bikosports-Aisee,sijui niseme nini juu ya hawa watu.
Kama ipo nyingine yenye kutumia malipo ya M-pesa au Tigo pesa,naomba mnijulishe wadau.
Natumia playmaster,ni kweli app yake ipo slow,sasa kama app inatumia data,,kwanini usiitumie playmaster kupitia browser(google chrome) ipo fasta sana,,mimi ndo naitumia kubet,ipo simple saana.jaribu!
 
Back
Top Bottom