NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,724
- 13,665
Ndiyoo! Kocha Gamondi kaja na Falsafa yake lakini Falsafa yake ni sumu iliyokuja kubomoa/ kuharibu kikosi kipana kilichotengenezwa na Fundi wa mpira Prof Nabi.
Nabi alitengeneza kitu kinachoitwa "HAKUNA STAR KWENYE TIMU YANGU" na kweli Hilo liliwezekana kila mchezaji aliyepewa nafasi alicheza mpira Kama hatocheza Tena.
Nabi alitengeneza kikosi kipana ikapatikana Rotation ya wachezaji na kweli wachezaji walipumnzika na waliopata nafasi ya kucheza timu ilipata matokeo.
Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k
Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Maoni Yangu: Gamondi aambiwe ukweli kuwa afanye Rotation ili kunusuru talanta za wachezaji.