Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 528
- 2,152
Shabiki maandaziPOLE SANA KWA KUTOELEWA NILICHOKIANDIKA.

Sent from my Pixel 3a XL using JamiiForums mobile app
Shabiki maandaziPOLE SANA KWA KUTOELEWA NILICHOKIANDIKA.
Marengo yapi hajayafikia???Gamond akishindwa kufukia malengo ya Yanga afukuzwe tu.
Kumpangia kikosi na mbinu za kushinda mchezo ndani ya uwanja hiyo hapana.
Nabi mwenyewe yuko wapi now kwenye hii champions league?? huyu ambaye alifunga losers tuKwenye mechi ya juzi Vs Medeama nilimiss super sub za Nabi!
Ule mchezo haukuwa wa kukosa matokeo kabisa.
Waambie hao ma mbwaTatizo la Yanga ni kujisahaulisha kwamba timu ilikua ikibebwa na Mayele, yule mwamba mara zote alikua akiibeba Yanga mabegani mwake. Na mara nyingi alipokosekana mayele timu ili-struggle kupata matokeo hivyo jukumu la kuamua mechi lilibakia kwa Feisal feitoto, kwa lugha nyepesi mayele alikuwa akificha madhaifu ya wachezaji wenzie. Now that he's gone, hiyo mnayoita rotation hata ikifanyika itakua ni bure tu kwakuwa Yanga haina kikosi kipana bali imejaza wachezaji wengi ambao ni average.
Ukitaka uelewe nini namaanisha angalia margin ya magoli ambayo yanga ilikuwa ikifunga kipindi cha mayele, karibia kila mechi yanga inashinda goli 1 au 2 na mfungaji mayele itokee sana afunge mtu mwengine.
Kwa sasa kidogo wanajitahidi kugawanya magoli akina Azizi ki, Nzengeli,Pacome wanajaribu kufunga funga magoli. Sasa ukisema uwatoe hao wanao kufungia magoli aingie sureboy na mauya mnataka timu ishuke daraja ?.
Kwahiyo amefikia?
Kule yuko na timu mpya kumbuka, mpaka mfumo wake ukubali itachukua msimu mzima.Nabi mwenyewe yuko wapi now kwenye hii champions league?? huyu ambaye alifunga losers tu
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Yanga ndiyo wanajua walimpangia afikie malengo gani kwenye mkataba aliotia saini ambao ni siri.
Sisi tunataka matokeo benchi la ufundi na Mkurugenzi wa ufundi ndiyo wanajua namna gani ushindi unapatikana hayo mambo ya kumpangia kocha sio yanga ya sasahivi labda huko timu nyingine .Yaani wewe nae lipumbavu kweli, striker wa nini na hapa tunaongelea rotation ya wachezaji, kocha analeta matabaka kwenye team, watu hata sub hawapewi, wewe na kocha wote wapumbavu.
Anakumbuka mzimu wa IHEFU.Ndiyoo! Kocha Gamondi kaja na Falsafa yake lakini Falsafa yake ni sumu iliyokuja kubomoa/ kuharibu kikosi kipana kilichotengenezwa na Fundi wa mpira Prof Nabi.
Nabi alitengeneza kitu kinachoitwa "HAKUNA STAR KWENYE TIMU YANGU" na kweli Hilo liliwezekana kila mchezaji aliyepewa nafasi alicheza mpira Kama hatocheza Tena.
Nabi alitengeneza kikosi kipana ikapatikana Rotation ya wachezaji na kweli wachezaji walipumnzika na waliopata nafasi ya kucheza timu ilipata matokeo.
Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k
Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Maoni Yangu: Gamondi aambiwe ukweli kuwa afanye Rotation ili kunusuru talanta za wachezaji.
Kuna kufanya rotation na kubadilisha timu. Mechi ya IHEFU hakufanya rotation bali alibadilisha timu.Aliingiza wasugua benchi 7 kwa mpigo watu waliokua wamekosa match fitness.Mashabiki siku zote hawaeleweki wanataka nini
Kipindi mnapigwa na Ihefu unakumbuka lawama zilikuwa kuhusu nini?
Wengi mlimshukia Kocha kwa kufanya rotation ya kikosi kwa kuwaweka benchi wachezaji wenu mnao wapenda.
Leo kocha anaweka hao wachezaji wenu mnao wapenda ambao mna amini ndio mhimili wa timu lakini bado mnakuja tena kumpa lawama kwanini hachezeshi wale wachezaji ambao hamkuwataka kwenye mechi ya Ihefu.
Hao ndio Gongowazi
Hizi mechi ni ngumu zinahitaji akili na nguvu na individual skills (uwezo wa mtu binafsi) siyo majaribio kumbuka yanga hawana namba 9 mwenye weledi wa kutoshaNdiyoo! Kocha Gamondi kaja na Falsafa yake lakini Falsafa yake ni sumu iliyokuja kubomoa/ kuharibu kikosi kipana kilichotengenezwa na Fundi wa mpira Prof Nabi.
Nabi alitengeneza kitu kinachoitwa "HAKUNA STAR KWENYE TIMU YANGU" na kweli Hilo liliwezekana kila mchezaji aliyepewa nafasi alicheza mpira Kama hatocheza Tena.
Nabi alitengeneza kikosi kipana ikapatikana Rotation ya wachezaji na kweli wachezaji walipumnzika na waliopata nafasi ya kucheza timu ilipata matokeo.
Lakini ujio wa Gamondi umekuja kuchuja na kuchukua wachezaji wake "First eleven" Hii ni sumu kubwa sana maana waliopo benchi hawapati match fitness siku wakipewa namba tutawakataa. Wapo wapi Abubakari Salumu (sureboy), Faridi Musa, Kibwana Shomari n.k
Yanga ya saivi akiumia mchezaji mmoja tu benchi la ufundi linaanza kuumiza kichwa huu ni mfano mzuri alipoumia Lomalisa Mutambala mawazo yalikua mengi lakini enzi za Nabi Faridi Musa na kitasa Kibwana Shomari walicheza vizuri tu.
Maoni Yangu: Gamondi aambiwe ukweli kuwa afanye Rotation ili kunusuru talanta za wachezaji.
KWELI MKUU UPO SAHIHI.Kuna kufanya rotation na kubadilisha timu. Mechi ya IHEFU hakufanya rotation bali alibadilisha timu.Aliingiza wasugua benchi 7 kwa mpigo watu waliokua wamekosa match fitness.
Nafikiri hoja ya mleta uzi bado itasimama pale pale, rotation ni muhimu sana, sio lazima wangie kwa ghafla lakini kuwaingiza taratibu wapewe Dk chache mpaka waingie kwenye mfumoMmesahau yule kipa metacha alivyo changia kutupoteza kwenye haya mashindano? Mmesahau kukosekana kwa mwamnyeto siku hiyo kulivyotucost? Mmesahau mechi ya ihefu hao akina mauya na sure boy walivopwaya na kusababisha kipigo? Alafu huyo mudathiri haendani na falsafa ya GAMOND yeye akiwa golini huwa anapiga mashuti hovyo hovyo ambayo huwa yanaenda juu usawa wa paa la mkapa stadium pia huwa anaenda mbele anasahau kurudi kwa wakati kwenye nafasi yake
Kwa kweli.Tatizo la Yanga ni kujisahaulisha kwamba timu ilikua ikibebwa na Mayele, yule mwamba mara zote alikua akiibeba Yanga mabegani mwake. Na mara nyingi alipokosekana mayele timu ili-struggle kupata matokeo hivyo jukumu la kuamua mechi lilibakia kwa Feisal feitoto, kwa lugha nyepesi mayele alikuwa akificha madhaifu ya wachezaji wenzie. Now that he's gone, hiyo mnayoita rotation hata ikifanyika itakua ni bure tu kwakuwa Yanga haina kikosi kipana bali imejaza wachezaji wengi ambao ni average.