The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,936
- Thread starter
- #21
Mimi sio nyumbu wa ufipa sawa? Unaona kabisa Mapato ya Kodi yameongezeka ,mapato ya mazao ,Mapato ya Halmashauri nk vyote Vimeo gezeka harafu unauliza swali la kijinga kama hukwenda shule.Ukimuuliza hio trilioni 13 imeongezeka vipi withn 4 yrs hana jibu, anaonyesha njia ya wapita kwa baiskeli huko porini...
Pole sana nyumbu