The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,936
Unaweza sema ni mapinduzi ya kiuchumi ama rekodi za kipekee za Rais Samia.
Kwa kipindi Cha miaka 4 ya mama,Samia ameweza kuongeza Bajeti ya Nchi kutoka Shilingi Trilioni 36 mwaka 2021/2022 Hadi kufikia Shilingi Trilioni 49 mwaka 2024/2025.
Aidha Kodi ya TRA zimeongezeka Kwa Trilioni 8 kutoka Trilioni 22 mwaka 2021/22 Hadi Trilioni 30 mwaka ujao wa 2024/2025.
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1803669229096362154?t=G_kwiuIrrNFXNCMnXFGPIA&s=19
Haya yametokea bila mtu yeyote kuporwa pesa Wala kupigwa risasi.
Ongezeko Hilo la Matrilioni limetokana na kukua Kwa Uchumi Kwa kila sekta kufuatia sera Bora za biasharana uwekezaji zilizoasisiwa na Rais Samia ikiwemo kufungua Nchi(Diplomasia ya Uchumi),Ubinafsishaji,Mageuzi ya Mashirika ya Umma,Utalii, Viwanda na Kuondoa vikwazo vya biashara.
Pesa hizo zinaweza kuwa reflected kwenye maendeleo ya jamii na Uchumi sekta zote za Nchi kuanzia Vijijini Hadi Mjini mfano uwekezaji mkubwa wa Afya,Elimu,Barabara Vijijini,Maji Kila Kijiji,Umeme Kila Kijiji na Kilimo Cha Umwagiliaji.
View: https://www.instagram.com/p/C8JW8CpO86O/?igsh=MTVjMG9qajdsaW1heA==
Aidha Kwa Upande wa Zanzibar, Bajeti inatarajia kuongezeka Kwa zaidi ya asilimia 44% Hadi kufikia Trilioni 5.18 mwaka 2024/25 kutoka Shilingi Trilioni 2.8 mwaka 2023/24.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C8KaGbYMrZU/?igsh=Z2Rtd25sMWNxazR2
My Take
Samia ndio mama wa Uchumi wa Tanzania Mpya,anastahili kupewa heshima kwa sura yake kuwekwa kwenye sarafu ya Nchi.Mama ameweza na chenji inabaki.Samia mi 10 tena.
View: https://www.instagram.com/reel/C8FanWWKBtJ/?igsh=d2R4eXJqeGZnOGpo