Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
Unatoa wapi muda wa kumsifia mwanamme mwenzako kiasi hiki?

C'mon roll up your sleeves and get that weird assmoving.

mshamba_hachekwi

Nyau de adriz
 
Back
Top Bottom