Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,702
- 31,916
Mohamed Said hakuna mkuu wa kanisa katoliki Tanzania kila askofu utawala wake unaishia kwenye jimbo lake..
Ahsanta sana
Ahsanta sana
Udini utawasumbua sana nyie maruhuni. Akitawala muislam, mfumo kristo, akitawala mpagani mfumo kristo, akitawala mkristo mfumo kristo.
Mbona hatusikii mfumo islam?
Post yote imenikeraMficha maradhi kifo humuumbua.
Jee, umemsoma Alama Mohamed Said au unakurupuka tu? Nambie kilichokukera nini katika alichokiandika hapa.
Sikiliza ewe punguani, kama angekuwa na nia ya kuonesha hakuna ubaya kwa makonda kuombewa na pengo(askofu) angeweka pia na picha ya makonda akiombewa na masheikh.
Hapo angebalance, na kusingekuwa na ligi
We ndo punguani na kaka yako. Ujumbe wenu haujawahi kubadilika, nu sawa na mtindo katika kazi ya fasihi. Badilikeni nyieHivi umemsoma sawa Alama Mohamed Said? Au u punguani tu unakufanya utokwe na povu lisilo na mpango?
Ina maana wewe umetazama picha tu lakini hujasoma alichoandika, kama umekisoma nioneshe kibaya ni kipi hapo?
Punguani wahed.
Ntamaholo,Tatizo ni kwamba, Makonda hajaombewa na Pengo pekee, ameombewa pia na mufti. Sasa sijui unasemaje?
Post yote imenikera
We ndo punguani na kaka yako. Ujumbe wenu haujawahi kubadilika, nu sawa na mtindo katika kazi ya fasihi. Badilikeni nyie
Hisia hasi za Kristo Yesu kuwa anatumika kuitawala dunia kitu ambacho mwenyewe alikikataa. Yeye si mfalme wa ulimwengu huu.Nnaona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango lakini kilichokukera unashindwa kukieleza.
Hisia hasi za Kristo Yesu kuwa anatumika kuitawala dunia kitu ambacho mwenyewe alikikataa. Yeye si mfalme wa ulimwengu huu.
Mtayeshelwa,Sioni Tatizo la Makonda kwenda kwa Mhashamu Baba askofu Pengo,kwani viongozi wa kisiasa wengi wa kisiasa bila kujali itikadi zao huwa wanaenda kwa viongozi wa dini kuombewa,pia kushiriki harambee mbali mbali.Siju kwa nini imekuwa nongwa kwa Makonda au kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia ni vizuri kiwekwe hapa kijadiliwe na siyo kujadili mtu kwenda kuombewa.
Tatizo liko hapa. Kwa nini kiongozi muislam na sio mtu yeyote? Kwa magufuri aliombewa na wakristo siku ile? Kwani jana Dr. Shein, aliombewa na waislam pekee pale wkt anaapa? Udini/uislam wako utakutafuna weweMtayeshelwa,
Hakuna tatizo la Makonda kwenda kwa Pengo kupokea maombi.
Ndiyo maana nikasema Mufti wa BAKWATA Sheikh Abubakar Zubeir
atoe hofu na yeye anaweza kumuombea mtendaji wa serikali Muislam.
Hili halijakatzwa.
Nnaona unabwabwaja na kuhororoja bila mpango lakini kilichokukera unashindwa kukieleza.
.
Binafsi nimeliangalia hili kwa jicho jingine kabisa nalo ni kuwa Mufti wa BAKWATA Sheikh Abubakar Zubeir keshafunguliwa njia na kiongozi mwenzake wa kiroho.
Dini ya ulalamishi dunia nzima. Ukienda syria,egypt,iran,lebanon wanauana wenyewe kwa wenyewe huku wakilalamikiana. Dini ilianzishwa kwa upanga inaishi kwa upanga. Na mpaka mwishowe mtume wao anakufa anasema hajui huko anakoenda atafanywa nini kutokana na damu na dhuluma nyingi alizozifanya za kuua na kuteka mali za watu wengine. So tusitegemee anything good to come frm these people maana wana mapepo hayo all over the world. Kama mtu anabisha amsome selman rushdie kwenye AYA ZA KISHETAN mtaelewa nazungumzia nini. Ni watu ambao they know no peace wherever they are.WALALAMISH RELIGION. Ambao kuua kwao ni jambo la kheri. So usishangae matusi ya faiz foxy ambaye amejaa mapepo kiasi kwamba hata hajielew.maana haya nimarafik zao.wale waliokuwa malaika waasi walioasi na shetani walipotupwa duniani huku tunawaita mapepo au majini ndo yalikuwa ya kwanza kuingia kwenye uislam yakisema hakika hii ndo dini ya mwenyezi Mungu wao ambaye ni shetan.mungu wa majini ni shetani. Na biblia inasema shetan kazi yake ni KUUA NA KUHARIBU. so angalia dini inayoua na kuharibu aman dunian...utapata jibu. Haya malalamiko ni namna ya kutafuta sabab za kuharib aman.ila tunashukuru Tanzania ni ya wote haturuhusu upumbavu huo. Huko zanzibar walishindwa wanakimbilia huku akina said na wengneo.
Huwa hawasomi hawa wanaojiita wasomi, wamekaririshwa, hata kitabu chao pia hawakisomiCha ajabu ni kwamba ndiyo dini inayokuwa kwa haraka kuliko dini yoyote ile duniani!
according to others, including the 2003 edition of the Guinness Book of World Records, Islam is the world's fastest-growing religion by number of conversions each year: "Although the religion began in Arabia, by 2002 80% of all believers in Islam lived outside the Arab world.
Source: Growth of religion - Wikipedia, the free encyclopedia
Fikiri.
Huwa hawasomi hawa wanaojiita wasomi, wamekaririshwa, hata kitabu chao pia hawakisomi