Michael Dudicoff
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 148
- 227
By the way mimi pia natoka mkoa wa Kagera wilaya ya Ngara ndani ya mji wa Rulenge lakini naamini wahaya na wanyambo hawafai kwa nafasi ya urais. NI WAKABILA MNO NA AKIINGIA IKULU WANAVYOPENDA SIFA WANAWEZA PENDEKEZA KIHAYA KUWA LUGHA YA TAIFA.Acha ukabila mkuu
Huyu jamaa ni muadilifu
Hatujawahi kusikia kashfa yoyote alipopita
Kuwa tu mkweli mkuu
Kwa wale wasiokuwa tafauti ya kihaya na kinyambo ni kama tafauti ya kisukuma na kinyamwezi.
Kama si mmoja wao huwezi jua tafauti yao.
Wakiingia madarakani pale ikulu ukiingia utakawa unasikia tu
"chonkaa mbwenu kaziro Bojo Nye ninyenda ebitoke.