Seven77
Senior Member
- May 28, 2024
- 170
- 140
Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye maarifa ya kutosha na umri usiozidi miaka 50.
Kwasasa AgendA ya dunia ni kuchagua mtu anayechukia rushwa na Ufisadi asiyelea Uzembe lakini pia lazima awe ni mtu aliyekaribu sana Mungu wa Mbinguni.
Na sasa kwa mamlaka niliyopewa natangaza mmoja kati ya hawa 15 ndio Rais wa JMT ajae badaa ya Rais Samia Suluhu Hassan.
Tafadhali Comment ziwe fupi fupi unataja jina na kama itakupendeza Sema kwanini ni huyo na sio hao wengine 14.

1. Paul Makonda
2. Jerry Silaa
3. David Kafulila
4. Tulia Ackson
5. Mchengerwa Mohamed
6. Hamprey Polepole
7. Luhaga Mpina
8. Ridhiwani Kikwete
9. Innocenti Bashungwa
10. Dotto Biteko
11. January Makamba
12. Mwigulu Nchemba
13. Juma Aweso
14. Hussein Bashe
15. Suleiman Jaffo