Mfanyakazi aliyepo masomoni Japan kwa miaka 13 kuchunguzwa/kushitakiwa

Tatizo watumishi wengi ni marehemu. Yaani mfanyakazi wa serikali ukitangulia mbele ya haki roho yako tu ndio unatengana nayo lakini mshahara wako bado unao ingawa kuutumia huwezi
 
Hoja iliyopo kwa sasa siyo nani aliyesababisha uozo bali ni njia za kuondoa uozo.

Kwa hiyo ulitaka uozo uendelee kwa sababu CCM bado madarakani?
Bila kujua na kuweka wazi nani alisababisha unadhani uozo utaisha mkuu? Watu hao kwa vile wamezoea kuishi kwa dili basi watabadili style na kuiba kivingine.
Mama Kilango adhabu yake ilikuwa kukumbusha watu kutimiza wajibu, lakini hawa wahusika na malipo ya mishahara hewa watajwe wore na wachukuliwe hata bila kujali ni nani ili tabia hiyo ife.
 
Mkuu, Ninasema siyo hoja kwa sababu hata mtoto wa darasa la nne anafahamu haya matatizo yamesababishwa na serikali ya CCM.

Kungekuwa na hoja kama kuna chama kingine kimewahi kushika madaraka ya nchi.
 
Duh milioni 54 mtu anavuta kiulainiii. Anyway, ni kama kiasi cha mboga ya siku nne huku kwetu Muleba.

Ila hiyo 54Mil ameivuta ndani ya miaka 13, ambayo ni sawa na miezi 156. kwahiyo kwa mwezi alikua analipwa takribani 346,153.85Tsh.
 
Na si Japan tu, watumishi hewa wapo nchi zingine za Ulaya na Marekani au hata Arabuni.

Kuna wengine walipiga mabomu kwenye maeneo ya IT kwenye ofisi zao kabla ya kutorokea nje.
 
Back
Top Bottom