Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Unaweza kuwa mpinzani wa dhehebu fulani hili halina shida,lakini kuanza kudanganya ni jambo la ajabu na lisilokubalika maana kuna watu wanaweza kuamini maneno yako...

Najua matatizo ya kanisa katoliki lakini usidanganye watu...

Naomba uweke na ushahidi wa kila kimoja hapo kuwa kwanza kimeruhusiwa na kanisa katoliki na pia ni kosa kimaandiko....
KWAHIYO HATA HILI UNABISHA ?

HII SIO IBADA YA SANAMU?

bda08ae1a39de2ad00a4f0ab631aa42b.jpg
 
Bado upo chungu kimoja na papa

020a390438a971639056aeffc975df1e.jpg
"umeufahamu" upande mmoja wa imani uliyokuwa nayo (ukatoliki) lakini pia ukiufahamu upande wa pili wa kanisa ulilohamia sitaki kuamini kwamba pia utahama... tambua moja tu, huenda yale ulioyapokea ni ya "kweli" lakini tawala hizi zinaongozwa na wanadamu wenye mapungufu ya hali ya juu kiroho, ila wakawa na maarifa sana kwa wanadamu wenzao, jaribu kukaa na kuwaza wewe binafsi ushawahi kutumia fikra zako mwenyewe kuutafakari utukufu na ufalme wa Mungu?
 
Mungu hakuwahi kuteua kanisa fulani kuwa alama yake, ila kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata, acha kupotosha watu na kujipotosha kuhusu SDA na upendeleo wa Mungu kwao
Mungu hakuwahi kuteua kanisa fulani kuwa alama yake, ila kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata, acha kupotosha watu na kujipotosha kuhusu SDA na upendeleo wa Mungu kwao
dah umenena kweli mkuu, kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata; tukumbushe zile amri kumi za Mungu tuone labda ni wapi tumejukwaa kwa kutokuzitii
 
dah umenena kweli mkuu, kanisa lake ni wale ambao huzishika amri zake na kuzifuata; tukumbushe zile amri kumi za Mungu tuone labda ni wapi tumejukwaa kwa kutokuzitii
Yesu hakutaka kujaribiwa, pia ni vyema hata usipende kujaribu imani za watu.
 
Nilishahamaga huko tangu 2012 nikaamua Kuokoka.
Bado hujaufahamu ulimwengu na walimwengu, siku ukiutambua vizuri utasema ni heri kuamini fikra zangu kuliko za wengine, nilitaka niseme "nakuonea huruma" ila nikawaza huenda nami kuna mtu "ananionea huruma"
 
Usomaji wa bible kama hauna roho mtakatifu ni ngumu kupata tafakari nikama kusoma gazeti ss hapa ndipo kwenye shida kwa Jamaa zangu wasabato,mashahidi wa jehova,.....
 
Mimi ni roman catholic
kwa mroma mwenzangu
atakayeweza kunielewesha, kiunagaubaga zile sanamu kanisani ni za nini? Kwanini maandiko yamepinga na still bado zipo? vp kwenye salama Maria kuna sehemu tunatamka mama wa Mungu je ni halali?. Ntaendelea kuuliza zaidi
Nb hayo maswali hasa la sanamu limenifanya niwe mgumu wa kwenda kanisani kabisa.
Kama Yesu anaitwa MUNGU na mariam ni mama wa Yesu then Mariam ni mama wa MUNGU. Unataka uhalali upi?
 
Kama Yesu anaitwa MUNGU na mariam ni mama wa Yesu then Mariam ni mama wa MUNGU. Unataka uhalali upi?
Yesu sio Mungu
na wala mariam sio mama wa Mungu. So mariamu ni mama yake Nabii ambaye ndiye kristo.
Ingekuwa hivyo pale Yohana alipokuwa anambatiza ile sauti ya Mwenyenzi Mungu isingesema huyu ndiye mwanangu nimependezwa naye.
 
Usomaji wa bible kama hauna roho mtakatifu ni ngumu kupata tafakari nikama kusoma gazeti ss hapa ndipo kwenye shida kwa Jamaa zangu wasabato,mashahidi wa jehova,.....
mkuu roho yupi unayemzungumzia.kama ni huyu roho mtakatifu ambaye habari zake tunazipata katika Bibilia,hawa jamaa wamefunuliwa mambo makubwa sana na huyo roho mtakatifu,ambaye huenda wewe huijui vizuri kazi yake.labda kama unamzungumzia yule roho mtakavitu wa ROKOBOSAKARARARA;SHAKARARAR,KANDARABOKOSA
 
We mti mkavu ujaribiwe una kitu gani ,labda tu una uvivu wa kufikiri na kutokujua mambo vizuri
hekima unayojiona kuwa nayo umeipata toka kwa watu wengine, na maarifa ya wanadamu kwa Mungu Wa Majeshi ni UPUMBAVU, chunga ulimi wako
 
hekima unayojiona kuwa nayo umeipata toka kwa watu wengine, na maarifa ya wanadamu kwa Mungu Wa Majeshi UPUMBAVU, chunga ulimi wako
hii ni hekima itokayo juu si kwa mwanadamu awaye yote, hakuna yeyote atakejisufu kanigawia. ISIPOKUWA MZEE WA SIKU
 
Walokole,wakatoliki,wasabato,waislam

Hii vita hii imekidhili humu

Anyway
Tambuen.mungu ni akl yako hakuna.zaid,
 
KWAHIYO HATA HILI UNABISHA ?

HII SIO IBADA YA SANAMU?

bda08ae1a39de2ad00a4f0ab631aa42b.jpg
Jitahidi uwe unaelewa unachoulizwa ili ukijibu na usijibu kitu kingine ambacho hujaulizwa.....

Kwenye maelezo yangu uliyo ya quote sijakataa chochote bali nimekutaka uweke na ushahidi ili usidanganye watu hapa...

Nikakuambia uweke ushahidi wa kila ulichodai kinafanywa na Kanisa Katoliki,badala yake umekuja na suala lingine kabisa,una matatizo gani?

Naomba usome nilichokutaka ufanye na ukifanye na siyo kuruka ruka tu bila kueleweka.....

Tatizo lenu mnadhani kila mtu anataka mabishano tu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom