Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

INjili na mafundisho potofu ndiyo yana toa fafanuzi kama hizi.....huyo kahaba mkuu ni mwili wako na mfalme ni nafsi yako inayo utawala mwili kuzini na huyo kahaba ni kufuata tamaa za mwili ...kulewa kwa damu ya watakatifu na maombi ya watakatifu maana yake ni kuzishinda tamaa za mwili kwa kumcha mungu ....hakuna fafanuzi ya kweli zaidi ya hii na huyo kahaba ndiyo 666 maana ya 666 ni miili yetu wanadamu..
NILIWAAMBIA MKIWA MNATAKA KUJUA NJILI NA DINI YA KWELI NIULIZENI MIMI MSIJIDANGANYE NA MAJIBU YA WAHUNI WA MAKANISANI NA MISIKITINI WANAO MILIKI SHETANI ANAYE ITWA "MADHEHEBU" WASHETANI KAMA MWAMPOSA ..GAMANYWA NA KAKOBE WATAZIDI KUKUPOTOSHENI ....
usipanic mkuu
tuliza akili yako ujifunze
hizi dini zimeletwa, tumezaliwa tukakuta wazazi wetu wako humo. tujifunze tujue kama zina mashiko au ni biashara ya wakubwa na mkubwa wao shetani
 
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...

Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg

mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.

014c67cfdb1f454cb6ffad5c5931e2e5.jpg

2d74043e7497ad8b2d6a027cbaa597c5.jpg
Sio mchezo hata kidogo.
Ikikupendeza mkuu naomba utushushie na kuhusu Ufunuo 12 pale
 
Kutoka 16:29Angalieni, kwa kuwa BWANA amewapa ninyi hiyo Sabato, kwa sababu hii huwapa siku ya sita chakula cha siku mbili; kaeni kila mtu mahali pake, mtu awaye yote asiondoke mahali pake kwa siku ya saba. 30Basi hao watu wakapumzika kwa siku ya saba. 31Na nyumba ya Israeli wakakiita jina lake Mana; nacho kilikuwa mfano wa chembe za mtama, nyeupe; na tamu yake ilikuwa kama tamu ya maandazi membamba yaliyoandaliwa kwa asali. 32Musa akasema, Hili ni neno BWANA aliloliamuru, Pishi moja ya kitu hicho na kiwekwe kwa ajili ya vizazi vyenu; ili kwamba wao wapate kukiona kile chakula nilichowalisha ninyi barani, hapo nilipowaleta kutoka nchi ya Misri. 33Basi Musa akamwambia Haruni, Twaa kopo, ukatie pishi moja ya hiyo Mana ndani yake, uiweke mbele ya BWANA, ilindwe kwa ajili ya vizazi vyenu. 34Kama vile BWANA alivyomwagizia Musa ndivyo Haruni alivyoiweka hapo mbele ya Ushahidi, ili ilindwe.

yaani kabisa bila aibu unaandika Usabato una miaka mia mbili (200)
kwahiyo wale walioagizwa kutunza sabato wakati wa safari ya waisrael wakiwa jangwani safarini kuelekea canan walikuwa Waroma?
Unabisha nini Sasa wakati muanzilishi wa usabato ni William Tindale
 
Inawezekana upo sahihi mkuu hili si ndio lile kanisa linalobariki mashoga?
 
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...

Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg

mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.

014c67cfdb1f454cb6ffad5c5931e2e5.jpg

2d74043e7497ad8b2d6a027cbaa597c5.jpg
Kwahiyo hata nyinyi mnaojifanya mnajua pia hamjui

Mnaendelea kuwadanganya wagalatia wenzenu au pia yawezekana na nyinyi mmedanganywa

Hadi siku Yesu anapaa mbinguni kulikuwa hakuna dini inayoitwa ukristo Wala Yesu mwenyewe hakuwa mkristo

Kama Yesu haujui ukristo inamaana hata wanafunzi wake hawaujui ukristo Wala wale wananchi walikubali na kufuata mafundisho yake hawakuwa wakristo

Utawala wa kirumi Ili waeneze dini Yao ya ukristo ilikuwa hakuna namba zaidi ya kuwauwa wanafunzi wa Yesu na wanazuoni wa Taurati na Injiri na wakafanya hivyo na hatimae wakausimamisha Ukristo

Wewe nani alikuambia Jumapili ni siku ya ibada kama sio warumi
 
usipanic mkuu
tuliza akili yako ujifunze
hizi dini zimeletwa, tumezaliwa tukakuta wazazi wetu wako humo. tujifunze tujue kama zina mashiko au ni biashara ya wakubwa na mkubwa wao shetani
Injili ya kweli ipo na dini ya kweli ipo na Mungu wa kweli yupo kweli kwa asilimia 100 ...mimi siyo mkristo wala muislamu ninaye kuambia hivyo ....tena Mungu yupo hata kisayansi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom