Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Ma-First Ladies wote wa Marekani wamefanya hayo hayo ya Michelle, except kutetea ushoga.Sasa unataka kusema nini? Go and educate yourself. US is the land of the free and home of the brave. Kwao mambo ya LGBT wanaruhusu sasa wewe nani upinge kuhusu hilo? Naona umekuja kuleta ubishani usiokuwa na mashiko. Wewe unafahamu Initiative ya Let Girl Learn? Initiative ya kupambana na Obesity kwa watoto? Mazingira? Hayo yote Michelle amekuwa aki-advocate for years as first lady. You must be very ignorant to fail to see this
Hivyo, Michelle ni kinara kuwazidi wenzake wote kwenye ushoga...
Upo hapo ...???