Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 297,512
- 1,163,347
Nilienda kuongeza nguvu(mb) mmh watu wa humu matajiri hamuishiw mb
ndio maana ukakimbia enhee??
ndio maana ukakimbia enhee??
wanaume tunaongoza -sababu ni nature!
mwanaume kuchepuka sio dhambi.ila mwanamke akichepuka ni dhambi kubwa sana
Mkuu usisahau kunionamo nikupemo mjibuWanawake wanaongoza na mpaka leo naendelea kufanya utafiti, kwanini wanachepuka wakati ukimuangalia kwake ana kila kitu, yaan ana nyumba nzuri, anakula vizuri, anavaa vizuri....
Lakini unakuta mwanaume anaechepuka nae hana chochote, sasa unabaki unajiuliza huyu kakosa nini?
Wataalam wa haya mambo mtusaidia kujua sababu ni kipi hasa huwafanya hawa wanawake kuchepuka?
ANGALIZO:- TUNAPOTISHANA mara andaa KY mara mke wa mtu sumu, mara kufumuliwa Malinda nk.... Kwa kutumia vitisho hivyo tunaendeleza kulea na kukuza tatizo.
Cha msingi tuangalie kwanini (kiini cha uchepukaji) tukijua kiini cha uchepukaji itakuwa rahisi sana kutokomeza hii hali, lakini tunapokimbilia kwenye kutishana tunaendelea kukuza na kulea tatizo.
Karibuni.
Me naona MEMimi naona hakuna
Hbari za alfajiri wana jamii..
hebu tupashane..
"Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
Wakichepuka wanaume kumi na wanawake kumi watakuwa wamechepuka,kwa sababu hawa wanaume kumi hawaendi kulala na ng'ombe kumi bali na wanawake kumi waliochepuka.Hbari za alfajiri wana jamii..
hebu tupashane..
"Kati ya mwanamke na mwanaume nani anaongoza kuchepuka ??"
Wanawake wanachepuka na wanaume.Kwa mfano, tukisema ni wanawake ndo wanaoongoza inabidi tuseme pia kwamba wanachepuka na wanawake wenzao.
Shoga leo hujalala...saa nane umeandika thread ..kwanini wanaume hawatulii na wake zao...
Saa kumi....umeandika hii ....vipi umetendwa.???
Leo ni jtatu km una shughuli amka pambana usiwaze mambo haya ya wanaume hayajawahi kupataga majibu....