Mchina amenakili Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind

Landwind Motors has finally launched the supremely controversial Landwind X7 SUV on the Chinese car market. Price starts at129.800 yuan and ends at147.800 yuan ($21.000 – 23.801). The X7 is an almost perfect 1:1 clone of the Range Rover Evoque, but sells for three times less.
 
Siyo vogue hiyo. Ni clone ya evoque

Naomba usome vizuri nilichokiandika na uelewe nilichomaanisha mkuu. Mchina akishaingia sokoni, wengi watakua na uwezo wa kuimiliki gari take tofauti na uwezo wa kumiliki evoque. Ni sasa na alivyoleta simu zilizoonekana kama BlackBerry, zlipata solo sana kwa sababu zilikua affordable kwa watu wengi.
 
me mchina nachotumia chake labda toyo mara moja moja ila asante mchina nitanunua land wind used itakuwa somewhere around 15m ntatoa badge ya land wind ntaeka range rover full stop
Hahahahahaha
 
Mkuu gari zote zina kushoto na kulia inategemea na maitaji ya nchi
Nafikiri huyu ndugu hakufahamu hili maana hata iwe Japan unapo order unachagua kulia au kushoto.
Hata hapa Africa kuna nchi steering kushoto na nchi zingine kulia.
 
Back
Top Bottom