Mchina amenakili Range Rover Evoque na kuiita yake Land Wind

Mkubwa hiyo sio ishu kwa mchina, anaweza hats kukuwekea center hand (Mskani katikati) wewe tu.

Nilichokifurahia, ndoto za wengi zitatimia. Kuendesha Vogue ilikua ndoto.

Mkubwa hiyo sio ishu kwa mchina, anaweza hats kukuwekea center hand (Mskani katikati) wewe tu.

Nilichokifurahia, ndoto za wengi zitatimia. Kuendesha Vogue ilikua ndoto.
Center hand Du hii kali maana left hand maana mkona wa kushoto,Right hand maana mkono wa kulia ,sasa hii Center hand ndio ngachoka!
 
Eeh Mungu asante sana kwa kuendelea kuwabariki wachina hasa wenye roho za kitekno na Xiaomi jaliia hiyo gari ifike huku kwetu tukishavuna mwezi wa saba....jih xin pong asanteni naomba mrudie american boot zimepotea...
 
Center hand Du hii kali maana left hand maana mkona wa kushoto,Right hand maana mkono wa kulia ,sasa hii Center hand ndio ngachoka!

Ha ha haaa hiyo inaitwa center au both hands mkuu. Nimecheka nana
 
Kila mtu ni mnafiki, mnafiki!
Kuna maombi yamepigwa kwenye mkesha wa kuamkia trh 1 January 2017 kwenye viwanja vya Uhuru. Miongoni mwa mambo yaliyoombewa ni watu kuacha tabia hiyo. Ngoja tusubiriye majibu ya Mzee wa siku tuone itakuwaje?
Wachina walete hata nyumba za kichina. Na sisi tumiliki mijengo tumechoka kupanga. Hata pesa bandia pia alete tu tuko tayari
He he he he.
 
Back
Top Bottom