Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,306
Ngoja niangalie TenaSi sugu uyo pembeni au mi naona vbya
Ngoja niangalie TenaSi sugu uyo pembeni au mi naona vbya
Asante sanaKaribu kiumeni mtoto wa mama.
Yani humu JF ndio unatuletea stori za kukatazwa na mama kujiunga na chama unachokitaka!!???
hiyo tv labda unaona wewe tu nyumbani kwako.Kuna wananchi wamechoma picha ya magu kuangalia mange uone haijawahi kutoka mwaka mmoja picha ya raisi ikatiwa kiberiti niliwahi kuona kwenye TV tu