Mbowe naomba kadi ya CHADEMA narudisha ya CCM

Daaaah..! Mi mwENYEWE NI CCM KINDAKINDAKI NATAMANI KUHAMA CJAMA ILA NGOJA NIVUMILIE LABDA NEEMA INAKARIBIA.. KWAKWELI SIJAWAHI ONA PEREZIDA KAMA HUYU WA KWETU.. CCM TUNAISOMA NAMBA WENYEWE
 
Mbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka jani nilifungiwa ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.

Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.

Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.

Asante.

Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
karibu sana mkuu
 
We lazima unatoka ukanda fulani wa nchi hii.
 
Huna lolote umekosa dili wewe! Eti Mbowe akupe kadi, Mbowe yuko busy kuwapa semina wabunge wetu kina Mukya juu ya malezi ya watoto wanaolelewa bila baba zao, wewe nenda kijijini kwenu utakutana na mwenyekiti wa kijijini kwenu utakutana na mwenyekiti wa kijiji cdm, chadema ipo kila kona
 
"Ulifungiwa ndani ili usiende kumpigia kura Lowassa"

Unasoma darasa la ngapi?
 
Mbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka jani nilifungiwa ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.

Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.

Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.

Asante.

Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.

Dah Mbowe anafaidi jamani!
 
kiukweli mkuu sioni kama unatania nawafahamu wa aina yako wengi tu sijui hasa kwakwe,li hii hali inatisha!
 
Back
Top Bottom