Mbowe naomba kadi ya CHADEMA narudisha ya CCM

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Mbowe naomba na mimi kadi ya chadema. Ninarudisha ya ya CCM. Nilikuwa CCM kwa kulazimishwa sababu nimekulia kwenye ukoo wa maCCM. Toka 2010 nilikuwa nashabikia upinzani kisirisiri. Huwezi amini mwaka juzi walinifanyia timing na kufungia kitambulisho changu ndani ili nisiende kumpigia kura lowasa. Sasa nipo huru maana hata hao ndugu zangu waliokuwa wanajifanya CCM damu damu wameisoma number. Leo wanaiponda serkal ambayo niwenyewe waliipigia kura.

Tena kuna mmoja wao alichoma mafuta kurudi kwenye jimbo alilo jiandikishia ili ampigie kura magu. Lakini leo hataki hata kuona sura ya magu.

Nipo huru sasa nilikuwa nimetengwa na ukoo sasa akili zimewakaa sawa. Naomba kadi niwe CDMA kamili.

Asante.

Siku nikipata ya chadema nitaleta marejesho.
 
We ni cdm ila unataka kumsemea ccm
Wa hivyo wako wengi sana kipindi hiki mkuu; wengi mno. Kuna wengine nilikua nabisha nanao kule FB kipindi cha kampeni tena wengine nje ya urafiki wetu wa FB but pia ni ma work mates na wengine ni marafiki zangu sana tu but sasa hivi hua wananambia hivi; "Mazindu, kumbe nyie mlikua sahihi bwana" SO wala usishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…