Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 588
- 1,360
Mbowe amesema hamuamini Rais Samia wala chama chake sababu miswada yake haikisi R4 anazozihubiri na wenzake, akisemw kiongozi anapaswa kutembea kwenye maneno yake, ambavyo haikua hivyo.
Akiongeza kuwa miswada hiyo haikupuuza tu maoni ya CHADEMA, bali ilipuuza hata ya kikosi kazi, waangalizi wa kimataifa, maelezo ya mahakama na kwamba yeye Mbowe ni nani mpaka ang’ang’anie kuwa Rais Samia na chama chake kina nia njema wakati kila kitu kipo wazi?
Mbowe akaongeza yawezekana Marwa alijua mapema kuwa CCM haiaminiki, lakini CHADEMA imefanya kila juhudi, wamejidhihirishia wenyewe kuwa CCM na Rais Samia haimaniki, na Marwa alipomuuliza kama anajutua kuwaamini CCM Mbowe amekiri hilo, na kusema ndio maana leo amesimama mbele ya umma kuliongelea hilo.