Kwa hili ni kweli tunawatoa Vijana wa Kitanzania Kafara. Currently Kenya is in havoc politically and socially. Halafu urafiki wa Kenya na Tanzania ni wa Mashaka sana. Wakenya hawaaminiki. Rudi nyuma wakati wa East Africa Community - enzi za Charles Njonjo. Wakenya walishaua wapoteza Watanzania wengi wanaofanya kazi kwenye Maofisi ya Mashirika yaliyopo chini ya Umoja wa Mataifa Kama UNESCO , FAO , UNIDO etc etc. Wakenya Kama wanabaguana na kuuwana kwa Makabila , watashindwa nini kuwadhuru Madaktari kutoka Tanzania. Ulinzi ambao Kenyatta ameahidi kuwapatia hao Madaktari hautawezekana labda wakakae kambini ili wakitoka na kurudi wafanye hivyo kwa escort. Ileweke kuwa mazingira ya kazi yatakuwa mabaya. Ingekuwa siyo suala la usalama ni vizuri Watanzania kufanya kazi nje tena wakiwa wametoka kwa utaratibu wa Kiserikali.