Ndio kinachoendelea sasa, wakiona mnaleta usumbufu kwenye vikao utasikia"tunamkaribisha naibu Spika Dr. Tulia aongee machache, "wapinzani njeMkuu kwa jeuri ya CCM watamuweka Naibu Spika kwa muda mrefu ujao aongoze vikao ili kuwaonyesha wapinzani kuwa siasa ni hesabu sio huruma ya wananchi.
Tena ikiongozwa na mheshimiwa Mkuchika daah am shocked my self...Kitu kinachoweza kumuokoa ni kwamba swala hili linaweza kukwamishwa na kamati ya haki,maadili na madaraka ya bunge ambayo ndo inaamua( baada ya kuridhika) kulipeleka bungeni kwa mjadala na kisha Kura ya SIRI.Katika mazingira ambayo kamati hii ina wajumbe wengi wa ccm ni dhahiri hawataruhusu swala hili kwenda bungeni.Lakini kinyume na hapo chochote kingeweza kutokea.
Huo ni mtizamo wako..Do you think you are more intelligent than UKAWA planners?!Go to hell!Acha kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa kuwa huwezi kushinda.
Inajulikana kabisa kuwa kambi rasmi ya Upinzani haifiki hata nusu ya wabunge wa CCM, lakini unaleta hoja zinazohitaji akidi kuamuliwa.
Na unaeneza propaganda kuwa kuna wabunge wa CCM hawana Imani Na Naibu Spika hivyo watakuunga mkono kumng'oa Naibu Spika.
Hivi lini wabunge wa CCM wamewai kusaliti chama chao kwa maslai ya Wapinzani.?
Mh.Mbowe umepwaya sana, unatakiwa kubadili aina Na muelekeo wa siasa za Upinzani Bungeni Na nje ya Bunge kwa ujumla.
Utawala huu unamapungufu mengi tu pamoja Na mazuri Yake...ni jukumu la kambi yako kujenga hoja zenye mshiko mtaeleweka tu.
Acha siasa za matukio, la sivyo utacheza CD zote za CCM.
Sasa hivi CCM wanaenda kukabidhiana madaraka.... Naibu Spika, Bunge live,Lugumi,Udom zitachuja mtakurupikia uchaguzi wa ndani wa CCM Na kusahau haya mengine.
Ni mtazamo tu..!
Hii mada Jesca type huiwezi.!
kwa sababu ni Fisadi PAPA Ref viongozi wako wa CHADEMA.Ajabu,kila kada wa chama cha vilaza akibanwa,ni lazima amtaje Lowasa,why?
Ukweli ni kwamba nitagombea ubunge jimbo la Kyela kwa ticket ya UKAWA , ila uongo ni tuhuma za mimi kuwa kituko , kampeni bado lakini tayari umeanza kukubali kutumwa ili kunichafua , bahati nzuri aliyekutuma namfahamu na hata kiasi cha hela ulicholipwa najua .Halafu nasikia unawania ubunge, kwa hoja hizi wewe si kituko tayari.!
Wakati huo CCM kulikuwa kuna kambi karibu tano za urais ndani ya CCM akiwamo Lowasa na kambi zote Pinda alikuwa kikwazo kwasababu ni Waziri Mkuu aliyekuwa anaongoza serikali. Dosari ya serikali yake inamuweka katika mizania moja na Lowasa, hivyo wabunge wa upande wake wengi walisaini wakiwamo Mkono,Bulaya,Filikunjombe Macho mekundu Mwanamaria wa Kahama, Kangi Lugora nikitaja wachache. Mazingira hayo siyaoni kwa sasa.Hivi unakumbuka kwamba katika ile petition ya kumtoa Pinda hata wabunge wa CCM waliisaini? Idadi ya wabunge wa upinzani ilikuwa ndogo lakini akidi ilipatikana na azimio likavurugwa tu.kwa matumizi mabaya ya kanuni
Nyiye wahindi huwa mnautamaduni wa kutoa mahali nyumbani kwa mwanaume. Nafikiri wakati umefika ukatoe hiyo mahali ili uwe na mume labda atakuongoza katika kuchangia humu jamvini. Kwa uhindi wako huenda ukapata bwana kipanga, hivyo ukichanganya na hivi viakili vyako vya kubonyeza baobonye angalau zitafikia kuwa na uwezo wa mtoto wa darasa la pili.Ukweli ni kwamba nitagombea ubunge jimbo la Kyela kwa ticket ya UKAWA , ila uongo ni tuhuma za mimi kuwa kituko , kampeni bado lakini tayari umeanza kukubali kutumwa ili kunichafua , bahati nzuri aliyekutuma namfahamu na hata kiasi cha hela ulicholipwa najua .
Lowasa ana akili sana. Baada ya Mbowe, Tundu Lissu na kina Lema kumchafua, kawafuata hukohuko wamsafishe, sasa CHADEMA wana ajenda tu ya kumsafisha kwa gharama zao za chama. Big up ELM
N
Mbowe alisema Lowasa hawezi kuongea ni zezeta, mzee wa Monduli akamgeuzia kibao, akamtongoza Mbowe hadi akamuuzia chama!
Acha kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa kuwa huwezi kushinda.
Inajulikana kabisa kuwa kambi rasmi ya Upinzani haifiki hata nusu ya wabunge wa CCM, lakini unaleta hoja zinazohitaji akidi kuamuliwa.
Na unaeneza propaganda kuwa kuna wabunge wa CCM hawana Imani Na Naibu Spika hivyo watakuunga mkono kumng'oa Naibu Spika.
Hivi lini wabunge wa CCM wamewai kusaliti chama chao kwa maslai ya Wapinzani.?
Mh.Mbowe umepwaya sana, unatakiwa kubadili aina Na muelekeo wa siasa za Upinzani Bungeni Na nje ya Bunge kwa ujumla.
Utawala huu unamapungufu mengi tu pamoja Na mazuri Yake...ni jukumu la kambi yako kujenga hoja zenye mshiko mtaeleweka tu.
Acha siasa za matukio, la sivyo utacheza CD zote za CCM.
Sasa hivi CCM wanaenda kukabidhiana madaraka.... Naibu Spika, Bunge live,Lugumi,Udom zitachuja mtakurupikia uchaguzi wa ndani wa CCM Na kusahau haya mengine.
Ni mtazamo tu..!
Mko narrow minded sana . Km watoto wa chekechea. Angalieni mambo kwa mapsna yake! Unadhan hiyo move wsliyochukua upinzani haina impact kwa NS mpaka sssa? Unadhani mpaka angolewe ndio upinzaninutakuwa umefanikiwa?FYI lile lilikuwa igizo tu ....kama serikali haitaki naibu spika atoke HATOKI! Chukua hiyo chungu kwelikweli ...maigizo ya kisiasa yanachosha sasa ...
Watarudi tu. Wataenda wapi hao ? Huyo ndoo Naibu spika wao. Nyumbu ni nyumbu tu. Mwisho wa siku ni chakula cha mamba.
Mkuu kila siku mnakuja na jipya, mmesema wapinzani hawajui kujenga hoja, wanajenga hoja mnapinga sasa ulitaka wafanyaje?Wakae kimya?Na unaeneza propaganda kuwa kuna wabunge wa CCM hawana Imani Na Naibu Spika hivyo watakuunga mkono kumng'oa Naibu Spika.
Unaweza ukaja na hoja mojawapo yenye mashiko?Au kuzuia hoja ya UDOM ndio hoja ya mashiko?Utawala huu unamapungufu mengi tu pamoja Na mazuri Yake...ni jukumu la kambi yako kujenga hoja zenye mshiko mtaeleweka tu.