Mbowe acha siasa za maigizo, UKAWA hamna akidi ya kumng'oa Naibu Spika

Hongera kwako uliezungusha mikono ukashinda.!
Sikuwahi zungusha mikono... Sikuwahi kuwa shabiki wa mwanasiasa yeyote kwa taaluma na exposure yangu.....

So siwezi beba machungu ya MTU binafsi kumchukia mwingine....
Mna safari ndefu sana waafrika kupevuka akili na kuichukulia siasa ktk issues badala ya watu binafsi.....
 
Hivi unakumbuka kwamba katika ile petition ya kumtoa Pinda hata wabunge wa CCM waliisaini? Idadi ya wabunge wa upinzani ilikuwa ndogo lakini akidi ilipatikana na azimio likavurugwa tu.kwa matumizi mabaya ya kanuni
Unaweza kutuwekea hapa hiyo akidi iloyotimia.?
 
Nenda kaangalie Kwanza ni taratibu zipi zinatumika kumtoa spika ama NS ndio utoe mchango unaoelewaka.!
Utaratibu ndo huo nilioueleza labda kama wewe hujui sema tukueleweshe.Soma kanuni za bunge toleo la 2007 sehemu ya kumi na nne uk 83 Utaratibu wote umeelezwa vizuri.
 
Acha kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa vitu ambavyo vipo wazi kabisa kuwa huwezi kushinda.

Inajulikana kabisa kuwa kambi rasmi ya Upinzani haifiki hata nusu ya wabunge wa CCM, lakini unaleta hoja zinazohitaji akidi kuamuliwa.

Na unaeneza propaganda kuwa kuna wabunge wa CCM hawana Imani Na Naibu Spika hivyo watakuunga mkono kumng'oa Naibu Spika.

Hivi lini wabunge wa CCM wamewai kusaliti chama chao kwa maslai ya Wapinzani.?

Mh.Mbowe umepwaya sana, unatakiwa kubadili aina Na muelekeo wa siasa za Upinzani Bungeni Na nje ya Bunge kwa ujumla.

Utawala huu unamapungufu mengi tu pamoja Na mazuri Yake...ni jukumu la kambi yako kujenga hoja zenye mshiko mtaeleweka tu.

Acha siasa za matukio, la sivyo utacheza CD zote za CCM.

Sasa hivi CCM wanaenda kukabidhiana madaraka.... Naibu Spika, Bunge live,Lugumi,Udom zitachuja mtakurupikia uchaguzi wa ndani wa CCM Na kusahau haya mengine.

Ni mtazamo tu..!
Hivi wewe na TRILLIONEA Mbowe ni nani Maarufu ? Hivi tajiri kama huyu ansyetumia mihela yake kukomboa nchi unaweza kusema anatafuta umaarufu kwenye kijumba kilichozungukwa na mageti kama jengo la bunge ? Very poor !
 
Umemjibu vizuri sana.Huyu siasa haijui.Hatua ya UKAWA kwa hapo ilipofikia ni pigo kubwa kwa Naibu Spika bila kujali nini kitafuata.

Kwa maneno mengine,CV yake tayari imeingia doa hasa kama ana lengo la kuja kugombea ubunge siku za baadae.Kaingia doa la kumpunguzia kura.
Labda akagombee dodoma , kwa Rungwe hatoambulia chochote .
 
Hivi wewe na TRILLIONEA Mbowe ni nani Maarufu ? Hivi tajiri kama huyu ansyetumia mihela yake kukomboa nchi unaweza kusema anatafuta umaarufu kwenye kijumba kilichozungukwa na mageti kama jengo la bunge ? Very poor !

Halafu wewe nilikuwa nakuona ni mtu wa maana kumbe ni........?

Endelea kuzungusha mikono, Maana hujui hata CHADEMA inapokea kiasi gani kwa mwezi. Na matumizi Yake yakoje.!
 
Halafu wewe nilikuwa nakuona ni mtu wa maana kumbe ni "Jesca" kiasi hiki.?

Endelea kuzungusha mikono, Maana hujui hata Chadema inapokea kiasi gani kwa mwezi. Na matumizi Yake yakoje.!
Yaani kwaajili ya mihogo tu mkaona heri CCM wadumu dawamu!! Utumwa ni joho la kudumu la mwafrika!!
 
Haya bwana naendelea kusubiri hiyo ya 2+2=22. Itawezekana vipi.!
Ndio maana ya siasa mkuu unalofikiria haliwezekani likawezeka vilevile kufikisha ujumbe kwa naibu spika kunaweza kumfanya ajirekebishe na sifa yake itashuka mbele ya jamii hata kama UKAWA wakashindwa mkuu
 
Halafu wewe nilikuwa nakuona ni mtu wa maana kumbe ni "Jesca" kiasi hiki.?

Endelea kuzungusha mikono, Maana hujui hata Chadema inapokea kiasi gani kwa mwezi. Na matumizi Yake yakoje.!
Kuliko mwana CCM anione wa maana ni bora nionekane mwehu dunia nzima , CCM ni mkusanyiko wa watenda dhambi chini ya ufadhili wa mwovu shetani .
 
Kuliko mwana ccm anione wa maana ni bora nionekane mwehu dunia nzima , ccm ni mkusanyiko wa watenda dhambi chini ya ufadhili wa mwovu shetani .

Halafu nasikia unawania ubunge, kwa hoja hizi wewe si kituko tayari.!
 
Back
Top Bottom