Mbona sipati mke wa kuoa jamani?

Hivyo vigezo vyote Vinapatikana PM
Hili ndo tatizo lako, pm pm we mwaga sifa zako hapa mwaga sifa za unaemtaka, kazi yako..... Tuone tunakusaidiaje, mi nna shangazi yangu yupo single waweza kuwa mjomba unataka mwanamke wa aina gani?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Hili ndo tatizo lako, pm pm we mwaga sifa zako hapa mwaga sifa za unaemtaka, kazi yako..... Tuone tunakusaidiaje, mi nna shangazi yangu yupo single waweza kuwa mjomba unataka mwanamke wa aina gani?
ok...ngoja nikujibu kiufupi...NINATAKA MWANAMKE PORTABLE KIASI Si mnene wala si mwembamba sana...RANGI...mweupe au Mweusi hakuna tatizo....DINI sibagui yoyote...Umri usizidi 25...

NADHANI UMENIELEWA JAPO NI KIUFUPI
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wanaume wenzako kama unavyodai wanamwaga hapa cv wewe kwa nn utake mkutane pm??hii ndo sababu hupati
 
Angalau ungesema hata kazi yako at least ungewavutia huko pm, mwanamke kuonyesha utabe wa kimaisha ni vigumu kupata
 
haupo serious wewe.......labda unachagua sana.....wanavyolilia ndoano....
 
Wanawake wa huku wanapenda Magentleman sasa wewe avatar tuu yenyewe imekaa kivulana hivyo utatoboa kweli ndugu?

Wee angalia wenzako walioweka maavatar ya kina whats ma nigga,u kno wa'amseying wanavyoshobokewa.
 
sura yangu inaonekana ya kivulana...ila ukikutana na mm...niko Gentleman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom