Smartkahn
JF-Expert Member
- Jun 22, 2020
- 526
- 933
Mkuu wengine walikua/ hawana option/chaguo wemezaliwa hizo ni mboga na chakula cha kila siku na mapishi flani chuku chuku.1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Kuna lika flani nikiwa ugenini niliwashangaa sana watu wanaochagua mboga nilikua naamini hawa watu wamedekezwa na kitendo cha kuchagua mboga ni tabia mbaya.