Mbegu bora ya samaki ni ipi na je inapatikana wapi?

Urw
Karibu sisi tunafuga na kuzalisha vifaranga vya Sato pamoja na kambale

Kwa upande wa Sato specie tunayozalisha ni Nile Tilapia (Oreochromis niloticus) na kuna vifaranga vya aina mbili madume (mono-sex) watu na mchanganyiko (mixed sex) wewe unahitaji aina gani?

Ni vyema kama ukiniambia eneo la bwawa lako ni la ukubwa gani ili nikushauli uchukue
Urefu mita26 za marhaba
Upana mita12.

Kina MITA 1½
Nile tilapia ndo nawahitaji. Kuna bwawa la asili ambalo ni miaka mingi Hilo sijapima urefu na upana wake lkn nawaza niweke samaki wanao zaliana Kwa ajiri ya kitoweo Cha nyumbani muda wowote natoa mboga.

Kwa ukubwa huo vifaranga wanagapi wanatosha mkuu karibu.
 
Idadi ya samaki inategemea na kiasi cha maji ambacho bwawa linaweza kuhifadhi na uwezo wa mfugaji wa kumaintain water quality

Kwa ufugaji wa kawaidi usiohusisha matumizi ya aerators, filter n.k inashauliwa kuweka idadi ya samaki 2 - 10 kwenye kila lita 1,000 (1m³). Lakini kama unamfumo mzuri wakisasa wa kudhibiti ubora wa maji unaweza weka hata idadi kubwa hadi 20+/1m³

Kwa eneo lenye urefu wa 26m, upana wa 12m na 1.5m kina, ninashauli uweke samaki 3,744 - 4,000 (8m/1m³). Hapa utafuga samaki wako vizuri bila stress za kubadilisha maji kila week
 
Urw

Urefu mita26 za marhaba
Upana mita12.

Kina MITA 1½
Nile tilapia ndo nawahitaji. Kuna bwawa la asili ambalo ni miaka mingi Hilo sijapima urefu na upana wake lkn nawaza niweke samaki wanao zaliana Kwa ajiri ya kitoweo Cha nyumbani muda wowote natoa mboga.

Kwa ukubwa huo vifaranga wanagapi wanatosha mkuu karibu.
Karibu PM tudiscuss njia rahisi ya vifanga kukufikia
 
Back
Top Bottom