Mbagala Kituo cha Msikitini itafika muda kutakuwa hakuna watu wanaoishi kwa hizi ajali za kila siku

Hapa Mbagala msikitini kituo cha pili kutoka Mtongani, ni hatari sana kwa maisha ya wananchi wanaoishi maeneo haya. Hiko kituo gari zikitoka Mbagala mission zinakuja speed sana na ukizingatia hapa kuna mporomoko na hakuna matuta.

Wakazi wa hapa kifo sio stories tena kwao, mana kila siku watu wanagongwa wanakufa na hizi gari za Dangote ndio balaa, zinapiga honi moja tu, usiposikia zinakuvaa na kutembea.

Boda boda ndio usisema wao wanagonga na kupita mbio.

Hapa palivyo ni kama hakuna serikali, maana hakuna hatua yoyote inayochukuliwa sababu kulikuwa na matuta yalijengwa baada ya kugongwa mwanafunzi, lakini hii kampuni inayojenga mwendokasi imeyaondoa kwa ajili ya kusawazisha na hawajarudisha tena.

Hapa ni haipiti siku kadhaa bila mtu kufa au kuvunjika miguu.

Serikali tunaomba mtusaidie hapa Mbagala kituo cha Msikitini, wananchi wanaangamia mno. Cha kushangaza hapa gari au pikipiki ikishagonga haisimami na hakuna wa kuipata

Basi hata muweka camera na kibao cha kuamuru madereva kutembea speed fulani ndogo.
Nchi ina wananchi mabwege hata yakitiwa masinge ya makalioni yanaona ni sawa tu. Maeneo hayo haya viongozi? Ohoo samahani kumbe ni CCM!
 
Mkamateni dereva mmoja atakae sababisha ajali ya kizembe na kuua na nyie muueni.
Mtakuwa mnefikisha ujumbe vizuri Sana,wataambiana kuhusu Hilo eneo na wataliheshimu!.Yani dawa ya mtu mshenzi ni kuwa mshenzi zaidi yake!!
Acha kuhamasisha uvunjifu wa sheria.....
 
Hilo eneo la msikitini liko karibu na kituo gani?
Ukivuka daraja la treni kuelekea mbagala mteremko kwenda mto mzinga baada ya mkondo wa maji hapo. Eneo hilo lione hivyo, wenyeji wako mbali kidogo ni kama bonde hivi siku hizi kumekuwa na biashara zamani hazikiwepo. Hapo vibaka ni balaa naona barabara saa hizi hairuhusu wezi kwa maana magari yanatembea ila iikwepo jam lock milango na madirisha lkn ficha vitu vya thamani watakuvunjia kioo wapore kwa nguvu ukiwa kwenye boda chunga begi litakuua maana wanavuta huku wewe unaenda.
Hapo ndio Msikitini kabla ya Mission
 
Aise

Ova
 
Kwahio hio ni ile down baada ya njia panda ya kwenda Tandika before hujafika njia panda ya kijichi pale? 😀
 
Back
Top Bottom