2v1
Senior Member
- Mar 28, 2024
- 134
- 205
Mathayo 24:9-14
9 Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
14 Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja.
Binafsi sijui ninashida gani nina miaka 20+ sijawahi kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yeyote. Porn graphics zimeniathiri sana, kuna muda natamani niingie kwenye mahusiano ila nasita sana naona kama siyo wakati mwafaka. Natamani nijiimarishe kwanza kiuchumi ndiyo niingie kwenye mahusiano. Nimekuwa nikiona usaliti kwa wapenzi nao umekuwa ukinipa hofu na kunifanya niwe na mawazo mengi.
Mimi ni mtenda dhambi kama wengine, kuna muda ndiyo napenda mtu ila upendo wangu unapoa nasita kabisa kutongoza. Sasa sijui ni vumilie hadi mwisho(yani mpaka nijiimarishe kiuchumi) maana naona porn graphics zinaniharibu. Kiukweli nina shida nyingi mawazo yenu wadau

10 Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana.
11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
12 Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
13 Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka.