Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 51,060
- 47,107
Pole mkuu, pambana bila kuchoka
Una akiri fupi iliyojifunga....YAAN UBORA WAKO UNAUPIMIA KWENYE kampuni local...afu unakuta MSOMI...yaani unalipwa sh ngp yakukupanikisha...HUNA akiri..unabebwa Tu...au NI kijana mdogo ..wako wapi waliokuwa MD UN, IKULU, BUNGEN, ICAP,ICAO, CCM, BOT? bado Tu unawaza hivyo vi tip vya diplomatic card, fuel id, na gar la kukodi..PAMBANA uwe na kampuni km hiyo ..pumbav kabisaRoho inaniuma kampuni ilikua kubwa sana Ina branches Kila mkoa nitapata wapi kazi nzuri zaidi ya hiyo
atakuja kulipiza huyu!Fany ujiajir
Asante sana umeniinuaUna akiri fupi iliyojifunga....YAAN UBORA WAKO UNAUPIMIA KWENYE kampuni local...afu unakuta MSOMI...yaani unalipwa sh ngp yakukupanikisha...HUNA akiri..unabebwa Tu...au NI kijana mdogo ..wako wapi waliokuwa MD UN, IKULU, BUNGEN, ICAP,ICAO, CCM, BOT? bado Tu unawaza hivyo vi tip vya diplomatic card, fuel id, na gar la kukodi..PAMBANA uwe na kampuni km hiyo ..pumbav kabisa
Hapana na hiki pia kinaniuma sana 😭😭😭 Bora ningefiwaUlifanikiwa kusevu kidogo?
Yaani pesa unaiweka juu ya uhai wa mtu 😄Hapana na hiki pia kinaniuma sana 😭😭😭 Bora ningefiwa
Hapana na hiki pia kinaniuma sana 😭😭😭 Bora ningefiwa
Kazi au kibarua?! Wenye kazi hawafukuzwi kienyeji hivyo.Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Ilikuwa haufanyi saving!??.....Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Acha kabisaWengine tunaugulia maumivu ya kupoteza muda shuleni
Upo sahihi sana na hili linawafanya watu wengi sana kutumika badala ya kuzitumikia ndoto zao. Ukubwa wa kampuni bila maslahi mazuri ni hasara kwake.Ishu sio ukubwa wa kampuni na kuwa kuwa na brqnch kila mkoa. Hata kama ingekua kila kata, kaz kama sio ya baba ako tunachoangalia kwanza ni maslahi.
Just like wenye kazi yao wanavyoangalia kwanza loyalty kwa mtu kabla ya kumuajiri.
Kama kaz haikupi maslah hata iwe na ofices around the world that is just a trash.
Kampuni hata iwe haina jina na haijulikan hata level ya wilaya, kama it gives a life ,it worths working for.
Usichamganye mambo, utashindwa kutoka kwenye hii situation uliomo
Upo sahihi sana.Sababu huijui halafu unasema tena makosa madogo madogo. Haba na haba vya makosa vimekujazia kibaba. Shukuru Mungu uendelee na Mengine
Una umri gani mkuu?Hapana na hiki pia kinaniuma sana 😭😭😭 Bora ningefiwa
Maumivu ni makaliYaani pesa unaiweka juu ya uhai wa mtu 😄