Mauaji yanayoendelea Kibiti, Pwani: Maoni, Ushauri na Mapendekezo ya nini kifanyike ili kuyatokomeza

Mi natoa wazo tu. Kama jamaa imeshindikana kuwakamata basi iombe namba zao za simu iwaulize wnataka nini ili wajadiliane jamaa wakikubali basi waache kuendelea kuua raia.

Hali ni ngumu jamaa utadhan wana ka jamhuri kao. Jamhuri ya watu wa Kibiti.toka polisi ijifunge kibwebwe kupambana nao hali bado imekuwa halijojo intelejensi inaonekana kuloana ndembendembe. Jamaa hakamakatiki polisi inaishia kuua tu watu ambao hawaoneshi kuuliwa kwao kunasaidia kukomesha mauaji ya raia huko kibiti.

Wangepewa namba za simu au hata kama watachat whatsapp au facebook wawasiliane wafikie muafaka raia wapone. Then polisi warud huku kuja kukamata hawa wapinzan wanaotaka kuandamana na pia wanaomsema vibaya rais.



Aaaah... Sasa mi nmekosea nini? Ni ushauri wangu tu baada ya kunywa vichupa toka mlipopiga marufuku viroba.
 
Njia pekee ya kukabiliana na uhalifu unaoendelea huko kibiti ni kuuchukua udongo wa ardhi ya Kibiti na kwenda kuupima kwa mkemia ili abaini chembechembe za uhalifu zilizomo kwenye ardhi ya Kibiti,au maabala yetu inapima mikojo tu?
 
nimecheka sana eti wachat whatsaAP! ahaahhaahhah! dah ! tena inapendeza JPM achat nao mwenyewe!
 
Kwa mtizamo wangu utawala na sio uongoz unatumia nguvu kuliko akili! Wamejika zaid ktk siasa na kusahau haki za din flan kadri iman unavyodai,kuna mkaz wa kibit alinisimulia chanzo cha hali hii lkn wao kama serikali na utawala wao wamejikita ktk siasa kama wazir wa ndan anavyojinasibu
 
Ningejitokeza lkn kwa mazingira ya utawala huu na sio uongoz ambao unatoa maagizo ya mabav na sio akil nivema kuwa mpole! Kwa ujumla wananchi wa kibit hawako na raha na nawiwa kuwa na huzun juu yao lkn utawala hauko sawa!
 
Back
Top Bottom