Matumizi ya Kiswahili: EAC igeni mfano wa AU, Magufuli kaonesha Njia

Licha ya Kiswahili kuwa lugha inayotumika na Nchi zaidi ya tano ukanda wa afrika mashariki lakini bado Kiswahili hakijawepa Hadhi ya juu km English. Lugha rasmi ya Jumuiya ya afrika mashariki ni English. Licha ya kiswahili kufahamika sana na Watanzania, wakenya, warwanda, waburundi pamoja na kidogo waganda bado Kiswahili kinaitwa ni lingua franca. Wanajeshi na askari polisi wa Uganda wanajua sana Kiswahili.

Haya ni matusi kwa wanajumuiya ya afrika mashariki. Kwanini kiswahili kisiwe lugha Rasmi Haiwezekani Kiswahili kisitumike kwenye vikao vya Jumuiya. Haiwezakani Kiswahili kiishie kuwa lingua franca tu. Tunatakiwa tuvalue vya kwetu.

Upande wa AU Kiswahili moja wapo ya lugha rasmi ikiwa samba samba na English na kifaransa. Ni jambo la kupongeza kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika na Rais wa JMT kutumia Kiswahili katika Mkutano wa AU. Ni jambo linalopaswa kupongezwa na watanzania kwakuwa kuongea Kiswahili ni kukivalue sana na kukiuza Kiswahili chetu. Kama ingekuwa Kiswahili kiameanzia Kenya, nakwambia leo lugha ingekuwa kubwa sana barani Afrika.

Ni jambo la kupongezwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki kwa kutumiwa Kiswahili katika forum kubwa ya Afrika.

Kiswahili ni kikubwa sana. Wakenya wanafaidika sana na Kiswahili ambacho siye tunakidharau. IPO Kamisheni ya Kiswahili ya afrika mashariki ipo Zanzibar katibu mtendaji wake ni Mkenya. Sitoshangaa hata wahariri/editors km wakiajiariwa watakuwa Wakenya. Vyuo vikuu duniani wakenya wengi wameajiriwa kufundisha Kiswahili.. Hata kuna baadhi ya court za China, honkong wameajiriwa wakenya kufanya kazi za kutafsiri Kiswahili.

Hongera tena sana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Rais wa JMT kwa kuki value Kiswahili katika forum kubwa Afrika.
Na vyema pia lugha ya Kiswahili iweze kutumika katika vikao vya afrika mashariki.

Watanzania tupende na tuvitukuze vya kwetu lakini pia tuvijue na vya wengine(English) pia.

Uzalendo halisi ni pale Kiswahili kilazimishwe kutumika shuleni , utumishi wapokee maombi ya ajira Kwa kiswahili, mabango ya barabarani yawe kiswahili na kila kitu cha serikali kiwe kiswahili: haya mengine ni usanii tu
 
..kiswahili hakipaswi kutumika zaidi ya kinavyotumika sasa hivi.

..waTz tuna udhaifu mkubwa sana ktk matumizi ya lugha ya KIINGEREZA.Tujitahidi kupambana na udhaifu huo.

..pia hatupaswi kuzitupa mkono lugha zetu za makabila.

..Utafiti wa kitaalamu unaonyesha kwamba mtoto anayezungumza lugha zaidi ya moja huwa
mwepesi kujifunza mambo mapya ukubwani.

..kwa hiyo kwa maoni yangu, waTz tunapaswa kuzungumza kwa ufasaha at least lugha tatu, lugha ya kabila, kiswahili, na kiingereza.
Kama una muda jaribu kupitia hii makala. Ingawa inahusu Ghana lakini hayo ndio yalikuwa mawazo ya waasisi wa bara hili; baina yao Kwame Nkrumah. Inasikitisha kuona hadi leo hii waafrika bado tunajicheka na kujidharau.
 
Mkuu mleta post hata mimi naunga mkono sana kukuza lugha ya kiswahili. Ni ukweli mchungu mkuu wetu kwenye lugha ya kiingereza hayuko vizuri kwenye kukiongea. Kwa sababu ya mapungufu hayo ndio inabidi ionekane ana uzelendo kwa kuongea kiswahili. Ila kesho au keshokutwa akitoka madarakani akaingia anayeweza kuongea vizuri kiingereza ataendeleza kukitumia. Kama kweli kuna nia ya dhati basi iwe ni sera ya taifa kutumia kiswahili kwa kila jambo, na sio kuchorana kwa kujifanya kuongea kiswahili mtu mmoja ambaye watu tuna mashaka na uwezo wake katika lugha hiyo, huku viongozi wote wa serekali wakiona fahari kupeleka watoto wao shule zinazofundisha kwa kiingereza na wanaoweza kupata ajira hasa huko serekali ni wale wanaojua kiingereza vizuri.

Umesema wakenya sijui wanafundisha na kutangaza kwenye mashirika ya nje kwa kiswahili. Ukweli ni kuwa wakenya wako vizuri kwenye kiingereza na habari nyingi wanazipata kwa kiingereza na kisha kuzitafsiri kwa kiswahili kisha kuzisoma. Hata hao waalimu wanaofundisha kiswahili huko nje wana msingi mzuri wa kiingereza kisha wanakuwa waalimu wazuri wa kiswahili, kwani ni rahisi kuwasaidia na kuwapata wanafunzi vizuri wanaotumia kiingereza tu. Hili la kujifanya eti kiingereza ni uzalendo ni usanii wa mchana kweupe, wakati ni mtu mmoja tu anayekitumia tena kwa madhaifu yake binafsi.
I like it
 
Great thinker tunajadili nn sijui humu..kwann tuna attack personality. Ivi watanzania tulizaliwa kuponda na kulaumu tu. Kwa AU Kiswahili ni official language km English lakin tunaponda Mkubwa wetu kutumia lugha yetu ambayo ilipiyishwa kuwa Rasmi. Leo naamini kuwa common sense is not so common. Why are we attacking magufuli personality;

Rais ni identity ya Nchi na Wananchi wake. Ndo maana watawala wanatudharau watu wa mitandaoni tunaonekana km hatujielewi.
 
Licha ya Kiswahili kuwa lugha inayotumika na Nchi zaidi ya tano ukanda wa afrika mashariki lakini bado Kiswahili hakijawepa Hadhi ya juu km English. Lugha rasmi ya Jumuiya ya afrika mashariki ni English. Licha ya kiswahili kufahamika sana na Watanzania, wakenya, warwanda, waburundi pamoja na kidogo waganda bado Kiswahili kinaitwa ni lingua franca. Wanajeshi na askari polisi wa Uganda wanajua sana Kiswahili.

Haya ni matusi kwa wanajumuiya ya afrika mashariki. Kwanini kiswahili kisiwe lugha Rasmi Haiwezekani Kiswahili kisitumike kwenye vikao vya Jumuiya. Haiwezakani Kiswahili kiishie kuwa lingua franca tu. Tunatakiwa tuvalue vya kwetu.

Upande wa AU Kiswahili moja wapo ya lugha rasmi ikiwa samba samba na English na kifaransa. Ni jambo la kupongeza kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika na Rais wa JMT kutumia Kiswahili katika Mkutano wa AU. Ni jambo linalopaswa kupongezwa na watanzania kwakuwa kuongea Kiswahili ni kukivalue sana na kukiuza Kiswahili chetu. Kama ingekuwa Kiswahili kiameanzia Kenya, nakwambia leo lugha ingekuwa kubwa sana barani Afrika.

Ni jambo la kupongezwa kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki kwa kutumiwa Kiswahili katika forum kubwa ya Afrika.

Kiswahili ni kikubwa sana. Wakenya wanafaidika sana na Kiswahili ambacho siye tunakidharau. IPO Kamisheni ya Kiswahili ya afrika mashariki ipo Zanzibar katibu mtendaji wake ni Mkenya. Sitoshangaa hata wahariri/editors km wakiajiariwa watakuwa Wakenya. Vyuo vikuu duniani wakenya wengi wameajiriwa kufundisha Kiswahili.. Hata kuna baadhi ya court za China, honkong wameajiriwa wakenya kufanya kazi za kutafsiri Kiswahili.

Hongera tena sana kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Rais wa JMT kwa kuki value Kiswahili katika forum kubwa Afrika.
Na vyema pia lugha ya Kiswahili iweze kutumika katika vikao vya afrika mashariki.

Watanzania tupende na tuvitukuze vya kwetu lakini pia tuvijue na vya wengine(English) pia.

Update baada ya reply za watu.

Great thinker tunajadili nn sijui humu..kwann tuna attack personality. Ivi watanzania tulizaliwa kuponda na kulaumu tu. Kwa AU Kiswahili ni official language km English lakin tunaponda Mkubwa wetu kutumia lugha yetu ambayo ilipitishwa kuwa Rasmi. Leo naamini kuwa common sense is not so common. Why are we attacking magufuli personality;

Rais ni identity ya Nchi na Wananchi wake. Ndo maana watawala wanatudharau watu wa mitandaoni tunaonekana km hatujielewi.

Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

Mleta mada usiwalazimishe watu kufikiri unavyofikiri wewe,fikra zingekuwa ni kanuni,zingeandikwa vitabuni ili kila mtu azisome.

Kama tunalengo la kukithamini kiswahili,mbona hapa kwetu hatujakifanya kuwa lugha rasmi ya kufundishia katika vyuo vya Elimu ya juu?

Mbona katika vyombo vya sheria tunatumia zaidi kingereza badala ya kiswahili?Tufike mahali tuache kuuficha udhaifu wa mtu kwa kulazimisha vitu ambavyo hata hapa kwetu bado havijapewa nafasi ya kutosha.

Mapungufu ya mtu mmoja katika lugha za kimataifa yasionekane kama "promo" kwa lugha yetu.
 
Kama una muda jaribu kupitia hii makala. Ingawa inahusu Ghana lakini hayo ndio yalikuwa mawazo ya waasisi wa bara hili; baina yao Kwame Nkrumah. Inasikitisha kuona hadi leo hii waafrika bado tunajicheka na kujidharau.

..mimi hoja yangu ni waTz tuzungumze lugha zaidi ya moja.

..na ni mapendekezo yangu tuzungumze lugha za kabila zetu, kiswahili, na kiingereza.

..Na tuzungumze lugha hizo kwa UFASAHA.
 
Mleta mada usiwalazimishe watu kufikiri unavyofikiri wewe,fikra zingekuwa ni kanuni,zingeandikwa vitabuni ili kila mtu azisome.

Kama tunalengo la kukithamini kiswahili,mbona hapa kwetu hatujakifanya kuwa lugha rasmi ya kufundishia katika vyuo vya Elimu ya juu?

Mbona katika vyombo vya sheria tunatumia zaidi kingereza badala ya kiswahili?Tufike mahali tuache kuuficha udhaifu wa mtu kwa kulazimisha vitu ambavyo hata hapa kwetu bado havijapewa nafasi ya kutosha.

Mapungufu ya mtu mmoja katika lugha za kimataifa yasionekane kama "promo" kwa lugha yetu.
Umenena vema, nakubaliana na wewe.
 
Ugomvi wa hilo jambo la lugha ungeisha kama mkuu angekuja na kukiri hadharani kuwa pamoja na kutaka kuendeleza juhudi za JK za kukuza kiswahili (maana ndiye alianza tena kwa mbinu za kisasa) yeye binafsi lugha ya kiingereza ina MPA taabu sana pamoja na kuitumia kutokea Seminary hadi PhD. (Hapo sijui sababu ya kutimuliwa seminary kuwa ilikuwa huo ung'eng'e!' Au?) Nadhani mjadala huu utakuwa umefungwa. Kutudanganya kuwa ni nia ya kukuza kiswahili hapana, jee kama ingekuwa sio kiswahili angetumia lugha gani ambayo yuko fluent? Kisukuma?
Tuwe wakweli na mtindo wa kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa tuache
 
Unadhani kuhutubia kwa English ni kazi. Si unasoma tu hotuba km ambavyo alisoma. Unataka kusema Rais hawezi hata kusoma hotuba kwa English.. Ebu kuchafua personality ya Mtu
 
Tanzania ya leo kuna familia nyingi ambazo zimeunganisha makabila tofauti. Hao utawashaurije?

..wazungumze at least lugha moja ya wazazi.

..ni jambo zuri kuzungumza lugha zaidi ya moja.

..anayesisitiza waTz tuzungumze lugha moja tu hatutakii mema ktk ulimwengu huu wa utandawazi.
 
Unadhani kuhutubia kwa English ni kazi. Si unasoma tu hotuba km ambavyo alisoma. Unataka kusema Rais hawezi hata kusoma hotuba kwa English.. Ebu kuchafua personality ya Mtu
Unasoma hotuba sio hadithi. Hotuba ina body language yake ndio maana hailetwi ukumbini na kugawiwa kwamba hotuba ndiyo hiyo mtasoma wenyewe.
 
..wazungumze at least lugha moja ya wazazi.

..ni jambo zuri kuzungumza lugha zaidi ya moja.

..anayesisitiza waTz tuzungumze lugha moja tu hatutakii mema ktk ulimwengu huu wa utandawazi.
Hatusemi lugha moja tu itumike. Nimesema hongera kwa bosi wetu kuongezea kiswahili katika public kubwa km ile. But lazima pia tujue lugha nyingine
 
Back
Top Bottom