Hawa walijirudia kwa jina la panya road.Komandoo Yoso miaka ya tisini
Dk.Mwakiembe semaUmesahau matukio ya wabunge waongeaji sana kufa kwa ajari ili hali dreva anatoka mzima kabsaaa.
Umesahau tukio la kutekwa kwa doctor (nimemsahau jina naisi ndio alikuwa mwenye kiti wa umoja wa madaktari) wakati wa mgomo wa madaktari
Matukio ni mengi Sana kila mmoja wetu anatakiwa achangie matukio anayo yakumbuka ili tuwe na tanzi data nzuri zaidiNdugu yangu Bujibuji umesahau matukio makubwa mawili katika sekta ya Fedha
1. wizi wa fedha benki ya CRDB azikiwe, wakati branch manager akiwa BOAZ (ujambazi)
2. wizi wa fedha za NMB katika makutano ya mataa ya UBUNGO (ujambazi)
haya matukio yalikua kama filamu hivi