MatiKibokoYao: Wema rudisha pesa za nguo unazodaiwa na Manyota

Status
Not open for further replies.
Nataka waelewe kuwa WEMA sio wa Kwanza kukopa...
Tatizo sio kukopa tatizo ni kujifanya ana pesa then anaenda kukopa nguo, kukopa sio issue ila kukopa nguo kwa staa kama yeye ni fedheha kubwa, acheni kutetea upuuzi hapa mxieee
 
Watu wanatofautiana interests zao na priorities kwenye life jidee yeye ana think extra miles ila mwenzetu hajali hyo only kukopa viwalo vya show off insta ndo ya muhimu by hasa k wa hawa mastar wa kibongo wasio na akili ya kujiongezea kipato
Kukopa sio issue ni staa mkubwa kama yeye kukopa nguo, sasa nguo ni za kukopa jaman kama sio aibu na fedheha??
 
Kukopa sio issue ni staa mkubwa kama yeye kukopa nguo, sasa nguo ni za kukopa jaman kama sio aibu na fedheha??
Hawa mastaa wa east Africa ili waishi wanetegemea kuuza vtumbua vyao star mkubwa hawezi kutumia jina lake kupata hela halali matokeo yao kuishi maishq ya stress na kutumika tu. Tena hata kina wolper lulu wana madeni hataree u fake life unawaponza
 
Wabongo kibao wanavaa nguo za mkopo zile ntakulipa mwisho wa mwezi ishazoeleka. Yan mpaka mtu hana kazi akikopa utasikia nitakupa mwisho wa mwezi sasa cjui mwisho wa mwezi kunasehem hela zinamwaga watu waokote ama nn.
 
afu huyo matty anajiona mjanja tena akiwa china ( sijui kama kweli china ) anajiona matawi afu mtukutu aliyeshindikana
 
Tz nguvu tunazo ziweka kwenye kudaka umbea tungezigeuza kufanyia kazi tungekua mbali sanaa
 
Every thing has a reason

Wema ni binadamu kama ulivyowewe.
Anakula chakula kama unachokula wewe na anaenda haja vilevile na ikibidi kuhara anahara pia ka ilivyo kwako tumbo likikuchafuka. Ana moyo akifurahi anacheka na akiumia analia machozi ka ilivyo kwa binadamu wote na si barafu!

Tatizo ni sisi ndo tunawamezesha maneno pengine hata ambayo hawakuwahi kuyafikiria.
 
Kumbe Wema ndo big boss wa Lulu, jamani umbea huu nilikuwa hata sijui.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom