Full Time: Tabora United 0-3 Yanga | NBC PL | Ally Hassan Mwinyi stadiam | April 2, 2025

holoholo

JF-Expert Member
May 10, 2023
2,158
3,586
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.

Ikumbukwe katika Mchezo wa mwisho wa NBC PL baina ya timu hizi mbili Yanga alikubali kupigo cha mbwa mwitu cha bao tatu kwa moja nyumbani Azam Complex.

Je,Yanga kulipa kisasi au ataendeleza uteja dhidi ya walina asali hawa wa Tabora?

Fuatana nami sako kwa bako mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu kwa update hapa jukwaani

Vikosi vya timu zote mbili

1743597848497.png

1743597868777.png
Full time tabora United 🤪 vs 3 young African sc
 
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.

Ikumbukwe katika Mchezo wa mwisho wa NBC PL baina ya timu hizi mbili Yanga alikubali kupigo cha mbwa mwitu cha bao tatu kwa moja nyumbani Azam Complex.

Je,Yanga kulipa kisasi au ataendeleza uteja dhidi ya walina asali hawa wa Tabora

Fuatana nami sako kwa bako mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu kwa update hapa jukwaani

TBC TAIFA,AZAM SPORTs HD2 na TBC ONLINE
Tabora na Simba wote leo wanachezea mikuni
 
Back
Top Bottom