holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 2,161
- 3,587
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.
Ikumbukwe katika Mchezo wa mwisho wa NBC PL baina ya timu hizi mbili Yanga alikubali kupigo cha mbwa mwitu cha bao tatu kwa moja nyumbani Azam Complex.
Je,Yanga kulipa kisasi au ataendeleza uteja dhidi ya walina asali hawa wa Tabora?
Fuatana nami sako kwa bako mwanzo hadi mwisho wa mchezo huu kwa update hapa jukwaani
Vikosi vya timu zote mbili
Full time tabora United 🤪 vs 3 young African sc