Masogange akamatwa kwa tuhuma za kuhusika na Dawa za Kulevya

Wenzie wamedhalilishwa yeye kakamatwa kimyakimya...

Kwenye foleni yeyote ulalamishi lazima uwepo ili huduma inoge!!!...Sasa hivi we anza kuangalia idadi ya mateja ikianza pungua na wazee wa mbwembwe kuanza kuikimbia nchi yangu TZ
 
Lakinini ni kwa nini central police na sii tume ya kudhibiti madawa?
Au labda muniambie ofisi za tume zipo pale central police. Kama sivyo basi mujue hii ni mission ya kusafishwa kabla hajafikiwa na wataalamu katika uchunguzi kutoka katika tume ya kudhibiti dawa za kulevya.
Subirini muone mtu anavyosafishwa kiulaini.
Kumbuka kitengo cha kudhibiti madawa ya kulevya kipo ndan ya Jeshi la polisi kwahyo kuhojiwa central sidhan kama ni kosa kwa mtazamo wangu lakini
 
list itakuwa imeanza kufanyiwa kazi

Ngoja tusubiri kusikia ile siku wale ''watoto wa vigogo'' aliowataja Makonda watakapofikiwa. I hope wanajijua na wameshaanza kuandaa utetezi wao, ikiwapo kufutilia mbali any incriminating evidence against them. Thanks to Makonda kwa kuanzisha vita kizembe
 
Back
Top Bottom